Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

Nini hatma ya Lowassa akikosa urais 2015?

LO-RUSHWA sisi WATZ HATUNA CHUKI NAWE, BALI TUNACHUKIA MATENDO YAKO MAOVU. NI HILO TU KAKA
 
Sijaona hoja ya msingi kwenye hii thread,jaribu kuja na hoja na facts
 
Je ni kweli LO-RUSHWA hawezi zunguka uwanja wa Taifa japo raundi moja!??

Je ni kweli LO-RUSHWA jicho moja linakaribia kufunga?

Je ni kweli LO-RUSHWA hawezibeba kikombe cha chai dak 3!?

Je ni kweli LO-RUSHWA kila mwezi huenda Germany kubadirishiwa na nihii??

Haya ndio maswali ya msingi, ila mleta mada shida yako ni KUTANGAZA JINA JIPYA "LO-RUSHWA"!! Umetisha!!
 
Sasa ya mebaki majungu .siasa majungu ,huswahilini tunapohishi majungu,kwenye michezo majungu ,makazini majungu .kila kona kila mahali majungu .kheeeee! Jaman watz tubadirike tufanyeni kazi. Tusiwe na akili kama za nyumbu kure serengeti .hapo majuzi wahindi wamerusha satellite anga za juuu kutoka kwenye uso wa dunia . Hukihangaria hili taifa nusu ya raia wake ni masikini wakutupwa hasa kure mikoa ya kusini mwa India .
 
AIR MISSILES 2015

WE KAKA unaUTANINA O-RUSHWA? YANI UNASEMA AKIMBIE UWANJA WA TAIFA R AUNDI MOJA??? HATA UJERUMAN HATAFIKISHWA AKIWEZA KUMALIZA
 
Edward Ngoyai Lowasa aka laighwanan, kama watanzania wote tujuavyo, ameonyesha uchu mkubwa wa madaraka wa kuutaka urais ambao haujawahi kuonekana toka nchi ipate uhuru. lo-rushwa ametumia kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha kwamba lazma 2015 ccm ndio inamteua kubeba bendera ya ccm.

Nionavyo mimi mambo ambayo yatatokea lo-rushwa "akila za uso" kama malecela, na kutemwa na ccm ni haya

1. lo-rushwa ataacha kugawa hela zake chafu misikitini, makanisani. nawashauri mapadri na mashehe watafute vyanzo vingine vya mapato
2. lo-rushwa ataacha kuvilipa vikaragosi vyake mitandaoni. navishauri vitafute kazi ingine.
3. lo-rushwa hatawaalika tena wenyeviti wa ccm wa mikoa mwisho wa mwaka mondul na kuwapa kila mmoja bahasha ya ts 500 000/=
4.lo-rushwa ataacha kuwaganjia wajumbe wa vikao vya maamuzi rushwa
5. lo-rushwa atacha kuvihonga baadhi ya vyombo vya habari
6. l-rushwa ataacha kuwachafua wenzake

wa-tz wenzangu mnaona nini kingine kitatokea?

Mkuu Galiya, asante kwa taarifa hii.

Ukweli ni huu!, rais wa Tanzania kwa mwaka 2015, sii mwingine yoyote bali yule tuu aliyeandikiwa na Mungu, kuwa atakuwa rais wa JMT mwaka 2015!.

Hakuna binadamu yeyote ajuaye ni nani aliyeandikiwa kuwa rais wetu, 2015, na wote wanaousaka urais ni watu tuu wenye wish, kama Mungu alivyotufundisha, "ombeni mtapewa!", "tafuteni mtapata!", na "bisheni hodi, mtafunguliwa!", hivyo hao watafuta urais, wote ni waombaji, watafutaji na wabisha hodi, only "the choosen" one ndiye atakayepata, na huyo "the choosen one" ni "one and only!".

Kwa vile hakuna ajuaye ni nani aliyeandikiwa, Mungu anayo namna yake ya kutenda, ikitokea aliyemuandikia ndiye huyo huyo unayemtaja, basi ni lazima atakuwa yeye!, inyeshe mvua, liwake jua, "liandikwalo ndilo liwalo!", alilolipanga Mungu, binadamu hawezi kulipangua!.

ila pia Mungu hupenda kujidhihirisha uwepo wake pale ambapo hakuna aliyetegemea!, kwa kuwafanya watu mioyo yao iwe migumu, ili kujidhihirisha utukufu wake, kwa kumnyanyua asietarajiwa kabisa!. Tumemshuhudia akimchukua mtu low life, "mvuvi tuu wa samaki", na kumuinua na kumgeuza kuwa "mvuvi wa watu!", akamwambia "Wewe Mwamba!, juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu!", akatuambia, atawaonyesha mataifa jinsi "Jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa ni jiwe kuu la pembeni!".

Na kama wewe uko kwenye lile kundi mnaoamini kuna jambo fulani haliwekekani, nakuhakikishia "there is nothing imposible under the sun!", lisilowezekana kwa binaadamu, kwa Mungu linawezekana!.

Rais wa Tanzania kwa mwaka 2015, tayari yupo, ameishaandikiwa, amaisha pangiwa, kinachosubiriwa sasa ni kusubiri tuu ile siku na saa ya kuapishwa!, na yeyote atakayeapishwa siku hiyo, huyo ndiye aliyeandikiwa hata ikitokea akawa ni Galiya!, huyo ndiye!.

Pasco.
 
Mimi shida yangu ni ile issue ya EPA na RICHMOND tu!!!
 
Binafsi siungi wala kukataa jitihada binafsi za bwana lowassa kutafuta nafasi ya urais, lakini, kwa wale wenye uwezo mkubwa wa kufikiri wanajua maana ya kitu kinachosemwasemwa.
Hapa jf wamejaa mamluki wa lowassa kuficha mabaya yanayofanywa/yaliyofanya na lowassa, hawa hawawezi kumsema vibaya na wala tusitarajie hivyo; Pia wapo wapinzani wake ambao wao wamekazana kusema mabaya yake tu, hawa nao tusitegemee kusema mazuri yake. But, all in all, according to his scandal amekosa sifa kwenye soko la siasa.
 
Edward Ngoyai
Lowasa aka laighwanan, kama watanzania wote tujuavyo, ameonyesha uchu
mkubwa wa madaraka wa kuutaka urais ambao haujawahi kuonekana toka nchi
ipate uhuru. lo-rushwa ametumia kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha
kwamba lazma 2015 ccm ndio inamteua kubeba bendera ya ccm.

Nionavyo mimi mambo ambayo yatatokea lo-rushwa "akila za uso" kama
malecela, na kutemwa na ccm ni haya

1. lo-rushwa ataacha kugawa hela zake chafu misikitini, makanisani.
nawashauri mapadri na mashehe watafute vyanzo vingine vya mapato
2. lo-rushwa ataacha kuvilipa vikaragosi vyake mitandaoni. navishauri
vitafute kazi ingine.
3. lo-rushwa hatawaalika tena wenyeviti wa ccm wa mikoa mwisho wa mwaka
mondul na kuwapa kila mmoja bahasha ya ts 500 000/=
4.lo-rushwa ataacha kuwaganjia wajumbe wa vikao vya maamuzi rushwa
5. lo-rushwa atacha kuvihonga baadhi ya vyombo vya habari
6. l-rushwa ataacha kuwachafua wenzake

wa-tz wenzangu mnaona nini kingine kitatokea?

Mkuu hapo no.2, namshauri Pasco ajifunze kuendesha bodaboda mapema
 
PASCO

KAKA NIMEKUKUBALI. VIKARAGOSI vyote vya LO-RUSHWA VINGEKUWA KAMA WEWE NA KUTOA HOJA BADALA YA POVU KAMA VIMEKUNYWA OMO NCHI INGEFIKA MBALI

KULA 5 KAKA
 
Mimi shida yangu ni ile issue ya EPA na RICHMOND tu!!!

Mkuu hata mimi naamini hapo tu. Ni mtu mjinga pekee mwenye akili za kuambiwa anaweza kukataa uchapa kazi wa bwana lowassa. Bwana lowassa anajulikana na anavuma sana kwa utendaji wake mzuri, lakini hapo kwenye kashfa zake za kutuhumiwa kwa ufisadi, iwe kweli au uongo ndio imeathiri na ndio itakayoathiri kwa kiasi safari yake ya urais.
 
SAMBAI

UNASHAURI ku PASCO AJIFUNZE UBODABODA...DUU HI KALI
 
Lo:Rushwaaa atajiua... Fredy Lowassa, Magai, Lau masha,Bashir wa stanbic bank na walevi wenzao woooooote watachanganyikiwa..!!
 
Edward Ngoyai Lowasa aka laighwanan, kama watanzania wote tujuavyo, ameonyesha uchu mkubwa wa madaraka wa kuutaka urais ambao haujawahi kuonekana toka nchi ipate uhuru. lo-rushwa ametumia kila mbinu iwe safi au chafu kuhakikisha kwamba lazma 2015 ccm ndio inamteua kubeba bendera ya ccm.

Nionavyo mimi mambo ambayo yatatokea lo-rushwa "akila za uso" kama malecela, na kutemwa na ccm ni haya

1. lo-rushwa ataacha kugawa hela zake chafu misikitini, makanisani. nawashauri mapadri na mashehe watafute vyanzo vingine vya mapato
2. lo-rushwa ataacha kuvilipa vikaragosi vyake mitandaoni. navishauri vitafute kazi ingine.
3. lo-rushwa hatawaalika tena wenyeviti wa ccm wa mikoa mwisho wa mwaka mondul na kuwapa kila mmoja bahasha ya ts 500 000/=
4.lo-rushwa ataacha kuwaganjia wajumbe wa vikao vya maamuzi rushwa
5. lo-rushwa atacha kuvihonga baadhi ya vyombo vya habari
6. l-rushwa ataacha kuwachafua wenzake

wa-tz wenzangu mnaona nini kingine kitatokea?

tetesi;
ametoa kifunga mdomo 500m kwa kila mjumbe was CC ili apitishwe wajumbe wameshakamata 250m kama kitangulizi. tuone kama CC inaubavu itachomoa jina lake
 
Back
Top Bottom