Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
SAMBAI
UNASHAURI ku PASCO AJIFUNZE UBODABODA...DUU HI KALI
Mkuu! sasa kama vibahasha mwisho 2015? Hapo huoni Pasco anaweza akakimbiwa na shemeji yetu.
SAMBAI
UNASHAURI ku PASCO AJIFUNZE UBODABODA...DUU HI KALI
Wale VIKARAGOSI WAKE WA HUMU MITANDAONI WAMWAMBIE ATOKEE KWENYE TV AMESHIKA KIKOMBE ZAIDI YA DK. 3
Mkuu hapo no.2, namshauri Pasco ajifunze kuendesha bodaboda mapema
Wale VIKARAGOSI WAKE WA HUMU MITANDAONI WAMWAMBIE ATOKEE KWENYE TV AMESHIKA KIKOMBE ZAIDI YA DK. 3
Thubutu!!
Mkuu hata mimi naamini hapo tu. Ni mtu mjinga pekee mwenye akili za kuambiwa anaweza kukataa uchapa kazi wa bwana lowassa. Bwana lowassa anajulikana na anavuma sana kwa utendaji wake mzuri, lakini hapo kwenye kashfa zake za kutuhumiwa kwa ufisadi, iwe kweli au uongo ndio imeathiri na ndio itakayoathiri kwa kiasi safari yake ya urais.
Mimi naamini kwa jinsi huyu mtu alivyokuwa na ushawishi ndani ya chama cha Magamba akikosa kusimamishwa na ccm ujue huo ndio mwisho wa maisha ya ccm. Yaani inaitwa kwaheri Ccm.
kwani alipomtembela Tb Joshua alipewa ujumbe gani kuhusu yeye kutaka kuwa Rais?mkilijua hilo mtaacha kumwandama huyu mtanzania