Halafu mkuu sijui umetumia kipimo gani katika kuangalia weledi wa Dr wenu, maana kama hizo sifa unazompa ni za ukweli basi jimbo lake la karatu alililiongoza mpaka akaacha mwenyewe lingekua linaongoza kwa maendeleo Tanzania, na Afrika kwa ujumla, lakini , rekodi yake kwa kipimo cha jimbo bado ni dhaifu sana, na ni mtu wa kawaida sana, mnamkuza bure tu, na kumpa sifa asizostahili, na mambo kama haya yanamadhara makubwa sana..
Umekuwa shekhe Yahya nini?wanajamvi tujadili hili suala,kwa mwndo anaokwenda nao lowassa ni waz hakuna mwanachama yeyete ndn ya ccm anaeweza kufuata alipo pita,amewaacha mbali sna wapinzan wake,sasa kuna tetes kuwa jina lake litakatwa mapema ili kuhakikisha hagombei nafas ya urais kwa tiketi ya ccm,sasa embu tujadili endapo ccm iitamkta jina lake nn kitatokea?????je ndo mwisho wa ccm au mzee wa mammvi atakubali yaishe????naomba ttujadili hili kwa mustakabli wa nchi yetu,ushabiki usio kuwa na maana tuuweke pemben
Wanasema ''Hardwork Pays'' lakini si muda wote, kuna wakati unaweza fanya sana kazi kwa bidii na bado usione matunda ya kile ulichokifanya.
Rasili mali pesa pamoja na rasilimali watu ambayo Bwana Lowassa amewekeza ili apate uraisi ni kubwa sana, ametumia nguvu kubwa sana kupata kuwahi kutumika ndani ya nchi hii toka imeumbwa na baba wa mbinguni.
Najiuliza, ''siku Lowassa atakapo ukosa uraisi atakuwa katika hali gani?"
Itakuwa ni siku ya kilio cha kusaga meno, siku hiyo ngamia atapenya kwenye tundu la sindano, Lowassa atapata aibu kubwa zaidi ya Brazil siku ile ilipofungwa magoli saba na Ujerumani.
Lowassa utaweka wapi sura yako? Kumbuka kwamba, kutokana na sababu za kiafya hauna msimu mwingine wa kugombea uraisi, huu ndio msimu pekee unaweza kukunusuru.
Lowassa, utazimia? utakimbia? utajiua? utanena kwa lugha?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Mkuu Lowassa hakuna mtu au taasisi yoyote inaweza kupambana na lowassa mumechelewa kesha ota mizizi anajua kona zote za TZ ana connection zote za usalama ana hela yakutosha ana wananchi wengi wanaompenda Lowassa Rais ukitaka usitake
wewe umekurupuka kwasababu hakuna mahala mleta mada kasema kuna mtu ama taasisi ya kumzuia Lowassa,yeye kauliza endapo akikosa kuwa rais itakuwaje,kwa maana anaelewa kabisa zaidi ya sisi wananchi haipo taasisi nyingine ..ni kwamba hatutampa na kama kujiua akasage chupa anywe mapema