Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,226
- 2,055
Kiingereza ya kama ya kwenye "dailynation"🙂Mike Pompeo is no dummy! Political ideologies aside, check his resume...

Mradi wake au mradi wetuMungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
Mimi nashauri ninyi watanzania mnaoishi nchini Marekani mnaweza mkaisaidia nchi kutoka kwenye mkwamo huu. Ishaurini seriksli ya Marekani ibatilishe hivyo vikwazo (bans) na kama watagoma basi wote indokeni huko mrudi Tanzania.Dreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.
Ya kwake si anasema akionda madarakani miradi YAKE itakwama.Mradi wake au mradi wetu

The rock and his followers including you are all stuck in hard place.Dreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.
Duh kweli hapo Lumumba kumejaa zero brain na wachumia tumboKuna ndenge zinategenezwa na urusi m23 ni zaidi ya boing
sent from toyota Allex
Kuna uzi wako unasema his migo not amigoDreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.
Naona leo umekuwa mpole na adabu juu,kweli Mabeberu sio watu wa mchezo mchezoMungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
Siku zoye mimi ni mpole ndio maana nataka na mkuu wa nchi kwa hili awe mpole aache yale maujuaji ya kisukuma maana ni ya kijinga tu.Naona leo umekuwa mpole na adabu juu,kweli Mabeberu sio watu wa mchezo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi wako unasema his migo not amigo
Unataka asafiri kwenda huko hakafu arudi kwenye boot ya ndege? Wacha mambo yako mkuu!Mungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
Nitakuwa nimekusea kuku'qoute ngoja niupandisheHahahaaa! Unasemaje huo uzi?
Wawazuwie wasanii wote wa WCB kui gia huko pia, kwa sababu anafaidika financially kutoka kwao!Na mlezi wa WCB.
dodge
Dawa ni moja tu..
Bashite atume watu wake wakamteke POMPEO ili mambo yakae sawa.
Wale wakiamua asafiri kwenye buti ya ndege hawashindwi kumsafirisha from Dar to Chato wala si lazima aende huko.Unataka asafiri kwenda huko hakafu arudi kwenye boot ya ndege? Wacha mambo yako mkuu!
Naliona giza nene kwa ndege yetu pendwa. Hakuna kumodifayi kifaa chake chochote. Ukifanya hivyo tu dege haliinukii juu.
Hivi ni nani aliyetuloga jamani?? Watu hatuna uwezo wa kutengeneza pini tunawatukana kila uchwao; Mibeberu, mijibeberuuu. Haya, yametikisa kiberiti kidogo tu, sote tumekuwa mbuzi jikeee