Dreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.