Nini hatma ya Dreamliners?

Nini hatma ya Dreamliners?

Kuna ndenge zinategenezwa na urusi m23 ni zaidi ya boing

sent from toyota Allex

Kuna suala la vipuri vya dreamliner n.k, ikiwa vikwazo vikaongezwa maradufu si ajabu ndege za Air Tanzania zikapaki ktk hangar bila vipuri na kukosa cheti cha kimataifa kuwa ni salama kuruka kutumia anga za nje ya Tanzania.

Serikali ya CCM Mpya iwe wapole ijitafakari na kujizuia ili mambo yasije kuwa makubwa zaidi ya zuio la Makonda na karipio la kuruhusu demokrasia ya vyama vingi sambamba na haki za msingi za binadamu.
 
Kuna suala la vipuri vya dreamliner n.k, ikiwa vikwazo vikaongezwa maradufu si ajabu ndege za Air Tanzania zikapaki ktk hangar na kukosa cheti cha kimataifa kuwa ni salama kuruka kutumia anga za nje ya Tanzania.

Serikali ya CCM Mpya iwe wapole ijitafakari na kujizuia ili mambo yasije kuwa makubwa zaidi ya zuio la Makonda na karipio la kuruhusu demokrasia ya vyama vingi sambamba na haki za msingi za binadamu.

Good point!
 
Tunanunua Antonov, Mig au Russian jets, au Embrerer pale Brazil wasitutishe hawa mabeberu..
 
Naliona giza nene kwa ndege yetu pendwa. Hakuna kumodifayi kifaa chake chochote. Ukifanya hivyo tu dege haliinukii juu.
Hivi ni nani aliyetuloga jamani?? Watu hatuna uwezo wa kutengeneza pini tunawatukana kila uchwao; Mibeberu, mijibeberuuu. Haya, yametikisa kiberiti kidogo tu, sote tumekuwa mbuzi jikeee
Kasoro mimi na wewe mkuu.

Mimbuzi jike ni ile inayokesha kumsifia DAB
 
Hahaha wamarekani huwa hawakatai pesa, Dreamliner's ni biashara kwao hata kesho Tanzania ikionyesha nia kutaka kununua nyingine Visa wanapewa.
 
Wawazuwie wasanii wote wa WCB kui gia huko pia, kwa sababu anafaidika financially kutoka kwao!

Inatakiwa awe kama mkoma, kila mtu amkimbie.
100% uko sawa kabisaaa mkuu,nadhani wakifanya hivyo somo watalielewa vzr sana.

dodge
 
Mungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
MAGUFURI HAWEZI MTIMUA BASHITE HATA IWEJE! BASHITE NDIO RAIS WA TANZANIA
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana sema mnapaniki tu bure, je mngekuwa kama Kenya Raisi wao hadi anapandishwa kizimbani Hague hizo travel ban wamepewa sana lkn bado USA ni largest trading partner wa Kenya kwenye hili eneo na sasa hata wanafanaya bilateral trading pact, maisha yanaendelea.

Hilo swala litaisha muda sio mrefu kuna kitu labda Serikali ya TZ don’t see eye to eye na USA wakitatua hilo kwisha habari na haina uhusiano wowote na ,, human rights abuse” !
True... Haya mambo yanakuzwa kuliko uhalisia
 
Back
Top Bottom