Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

Corona ilipewa machaguo, mosi iishi nasi kwa utulivu pili iondoke yenyewe bila kufukuzwa.ikachagua option ya pili.
 
Mtaani kwako imetafuna wangapi mpaka leo?
Sio lazima mtaani kwangu iwe imetafuna watu ndo corona isemwe inatafuna watu Hata huko marekani na Brazil misiba haipo Kila nyumba au Kila mtaa. Kuna vitaa mingine misiba ya corona haijawahi kutokea
 
MWENYEZI Mungu, Our Beloved, The kings of kings, Alpha na Omega.

Ongeza sauti [emoji122][emoji122] “2 NYA. 7:14 SUV

ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.[emoji120][emoji120]
 
Hakuna sababu ya kuandikia mate, mda utaongeza vizuri zaidi kama ilivyopangwa kule Madagascar
 
Amina,Mungu ni msaada pekee tulio nao.
 
Hiyo ndo habari mkuu! Mungu ametunusuru
 
Hata USA hakuna corona ni maneno nampropaganda


Wambie waoneshe makabur wanayozika watu 1000 kila siku hakuna zaid kwa sasa kila kifo kwao ni covid
 

Unamjua mtu mwenye corona wa karibu yako
 
Kwani kukitokea janga au ajali ni lazima watu wote wafe?.Wewe kama umenusurika haimaanishi hakuna aliyekufa.sio kila jambo linalompata mwingine nawewe likupate.Ugonjwa upo na wako wanaougua nakupona na wengine kufariki.Na kulingana na mazingira ya sasa yalivyo huwezi kujua au kupata taarifa ya kila kitu. na vile vile huwezi kusema kila kitu.Serikali imeshasema maisha yarudi kawaida sasa hapo ni akili zako.
Ipo wapi?.
Tofauti yetu na wao ni IPI?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Unamjua mtu mwenye corona wa karibu yako
ungemuuliza daily viongozi wa serikali wanafanya mikutano na watu hawana barakoa wala nini, je nani kashaambukizwa kati yao? au corona inabagua viongozi?
 
Korona bado ipo mkuu kama wadau wanavyosema tumeandaliwa kisaikolojia kuondoa hofu,pili kama Sister Sky Eclat alivyotoa factors juu huko zimetusaidia.

Tuendelee Kunawa kwa kutumia BARAKOA na Kuvaa SANTAIZA.
 
Wapiiiii?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…