Ipo lakini haina effect au?? Hapo mtaani kwenu wangapi wamekufa kwa koronaCorona inawezekana ipo ila tulichoondolewa ni hofu.
Wakihimiza tahadhari ?? Ipi? Nenda kariakoo halafu niambie ni tahadhari ipi iliyohimizwa paleSerikali huenda kuna kitu wanakijua kuhusu huo ugonjwa so wakaamua kucheza na saikolojia za watu, huku wakihimiza tahadhari ikiwa kama njia ya kufanya chochote kitu mixer maombi na nyungu.
Kusema kinga duh! Napata hofu kidogo maana hao wazungu hula vyema Sana mazoezi n.k kushinda huku ambapo wengi wao kula nini huchaguliwa na maisha na si kuchagua!.. mi nahisi kuna namna nyengine zaidi ya hizi tunazoziona kuhusu huu ugonjwa.
You only think about future..Wakihimiza tahadhari ?? Ipi? Nenda kariakoo halafu niambie ni tahadhari ipi iliyohimizwa pale
Mtaani kwenu mume zika msiba mingapi inayo husiana na Corona?Kitendo tu Cha kuficha takwimu kikupe tu jibu kuwa corona ipo sana hapa na inatafuna watu.Corona haikuwa mkondo wa upepo kwamba inapita tu na ikishapita haigeuki nyuma.Acha tuendelee kujitoa ufahamu Ila siku ikiguza penyewe tutaanza kuipa heshima yake
Kwani Kenya ipo bara gani?Kuna mtaalamu WHO alisema Afrika kinachotusaidia ni
1. Vyakula tunavyokula, vinatoka shamba moja kwa moja havisindikwi...
Maambukizi ya Kenya hayajafikia Brazil, Brazil wanakufa 500 kwa siku.Kwani Kenya ipo bara gani?
Nawe sister some time Unazinguaga tu.
A myth while people are dying all over the world? Kama huamini ni Mungu tu ametusaidia, sawa.Corona COVID-19 was myth
Tungeisha na corona unadhani mwenge ungekua na kaz gani sasa?
Inawezekana inatutafuna sawa. Swali fikirishi, kwa nini mtanzania atafunwe kimiujiza na labda tufe sana na huku tunatembea tofauti na marekani, Brazil, India, uingereza, Spain, Italy nk nk,?Kitendo tu Cha kuficha takwimu kikupe tu jibu kuwa corona ipo sana hapa na inatafuna watu.Corona haikuwa mkondo wa upepo kwamba inapita tu na ikishapita haigeuki nyuma.Acha tuendelee kujitoa ufahamu Ila siku ikiguza penyewe tutaanza kuipa heshima yake
Hakuna kitu kama hicho. Corona inatandika Afrika kama kawaida, issue ni vile nchi nyingi za kiafrika hazipimi wala kutoa taarifa sahihi za kitakwimu.Kuna mtaalamu WHO alisema Afrika kinachotusaidia ni
1. Vyakula tunavyokula, vinatoka shamba moja kwa moja havisindikwi...