Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Wewe ni shoga ?Ukaona ushoga tyuuh? nyie watu mkoje kwani?
Mxxxiiiieeeew
Wewe ni shoga ?Ukaona ushoga tyuuh? nyie watu mkoje kwani?
Mxxxiiiieeeew
Hakuna tatizoExistence ya kiumbe hai chochote kile Duniani akiwepo Binadamu ni KUZALIANA
Leo hii Dunia nzima tukifunga kuzaliana baada ya miaka 100+ Kiumbe kinacho itwa Binadamu KITATOWEKA Duniani.
Kwani binadamu ndio kiumbe cha kwanza kuwepo hapa duniani au mnajipa umuhimu usiokuwa na maana kwenye dunia.
halafu inakuwaje sasa?Kuendeleza asili ya binadamu tu .
Jibu kilichoulizwa na sio wee kuuliza tena swali.Wewe ni shoga ?
Halafu unakufa wanazaliwa wengine kama kuzunguka ringi tu .halafu inakuwaje sasa?
ChangamotoHapo sasa, au binadamu wasipokuwepo, viumbe wengine hawawezi ku survival ktk ulimwengu huu.
Lol 😂😂😂😂😂
Ni changamoto za maisha.Vipi ukipata mtoto jambazi au shoga?
Jamii ambayo ni watoto waliozaliwa na kukua. Boss, Unaona faida ya kupata heshima ya jamii kupitia gari ila huoni faida ya watoto?Furaha ya gari ni tofauti na mtoto kwa sababu ni kitu kinachokuwezesha kusafiri na kupata hadhi/heshima fulani katika jamii,
Wewe furaha umeitafsiri kama ni return, sasa kuna ambao hata kumtazama mtoto akitamka baba/mama kwa mara ya kwanza kunampa furaha bila return yoyote.pia unaweza kuuza gari, kulitupa au kuachana nalo ukiona halina faida tofauti na mtoto.
Niliulizwa hilo swali na mtoto wangu "Why did you have me, what was your reason to have a child" nikakaa kimya kwa muda kutafakari jibu.Wengi wanazaa na kufanya mambo mengi kufuatisha mfumo wa jamii. Yani ukifika umri flani lazma uoe au uolewe na uzae. Wengi pia ni life insurance, unaweka kinga ili yakikufika upate wa kukusaidia japo ni wengi wametelekezwa na damu zao pia.
Binafsi naona tu ni kupata ndugu zako wale ride or die. Kuna time hasa utu uzima ukifika hakuna marafiki wala ndugu wanaokuwepo bila wewe kuwafaidisha, kwa hiyo kinachobaki ni wewe na watoto/wajukuu zako hususani kama uliwalea kwa upendo na wao wawe na roho nzuri pia. Ndio maana wengine hupata katoto ka uzeeni kama wengine wote washajenga miji yao
Ni ile tu hisia ya upendo halisi, kukubalika ,kujivunia, furaha ya kweli and sense of belongingness
😂😂😂😂😂Narudia tena. Binadamu ni wanyama kama wanyama wengine, hatujui kwanini tuko hapa, hatujui kwanini tunazaliana, tupo tuu ili mradi siku ziende nasisi tufe tutoweke. Nje ya hapo ni kujipa moyo na kujifariji
unatakiwa ujue. ni wajibu wako kujua. Hayupo wa kujua badala yako.Sijui
Wewe kwa nini umezaa au unapanga kuzaa?Existence ya kiumbe hai chochote kile Duniani akiwepo Binadamu ni KUZALIANA
Leo hii Dunia nzima tukifunga kuzaliana baada ya miaka 100+ Kiumbe kinacho itwa Binadamu KITATOWEKA Duniani.
Hapana nimeuliza wewe ni shoga ? Swali ni jepesi ambalo ukinigeuzia mimi halitakuwa na ugumu wa kulijibuJibu kilichoulizwa na sio wee kuuliza tena swali.
Huko shule mnajifunza ujinga au?
😄Halafu unakufa wanazaliwa wengine kama kuzunguka ringi tu .
Hujataja faida, nweii km binadamu atatoweka, nini kifuatacho? Dunia haitaendelea? Au ni vipii?Existence ya kiumbe hai chochote kile Duniani akiwepo Binadamu ni KUZALIANA
Leo hii Dunia nzima tukifunga kuzaliana baada ya miaka 100+ Kiumbe kinacho itwa Binadamu KITATOWEKA Duniani.
Twende taratibu hapa usije tu ukakimbia.😄
usipojua ni kwanini uko duniani ni hatari sana. Usipojua kusudi la kuwepo kwako, unakuwa hauna tofauti na mnyama wa kawaida. Mungu alituumba tuwe tofauti na wanyama wa kawaida (hayawani)
ukiona ugumu ujue kuna ugumuHapana nimeuliza wewe ni shoga ? Swali ni jepesi ambalo ukinigeuzia mimi halitakuwa na ugumu wa kulijibu
Majibu yako hakika tungefananaSijui