Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Wengi wanazaa na kufanya mambo mengi kufuatisha mfumo wa jamii. Yani ukifika umri flani lazma uoe au uolewe na uzae. Wengi pia ni life insurance, unaweka kinga ili yakikufika upate wa kukusaidia japo ni wengi wametelekezwa na damu zao pia.

Binafsi naona tu ni kupata ndugu zako wale ride or die. Kuna time hasa utu uzima ukifika hakuna marafiki wala ndugu wanaokuwepo bila wewe kuwafaidisha, kwa hiyo kinachobaki ni wewe na watoto/wajukuu zako hususani kama uliwalea kwa upendo na wao wawe na roho nzuri pia. Ndio maana wengine hupata katoto ka uzeeni kama wengine wote washajenga miji yao

Ni ile tu hisia ya upendo halisi, kukubalika ,kujivunia, furaha ya kweli and sense of belongingness
 
Kabisa , huwa navuta picha kizazi cha binadamu kingetoweka duniani , dunia ingekuaje🤔
 
Back
Top Bottom