Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

Kwa binadamu ndio kiumbe cha kwanza kuwepo hapa duniani au mnajipa umuhimu usiokuwa na maana kwenye dunia.
Hapana sijajipa umuhimu ila nimefikiria jinsi dunia itakavyokua nzuri zaidi bila binadamu tu
 
Kabisa , huwa navuta picha kizazi cha binadamu kingetoweka duniani , dunia ingekuaje🤔
Dunia itaendelea kuwepo maana kila kiumbe ana mfumo wake wa maisha. Ndio maana unaona hii population increase na teknolojia kukua inavyozidi kuiharibu dunia..

Lakini pia ukiangalia restrictions za uzazi China au huko kwingine ulaya ambapo hawazai sana, bado unaona hata system za kwetu tukizibadilisha bado kuna namna dunia itaendelea kuwepo. Mfano bongo kuna wazazi wengi hawakutakiwa kuwa wazazi ila wanafyatua watoto ambao hawawezi kuwasimamia si kiuchumi, kiroho, kimakuzi wala kiakili. Mwisho wa siku akibahatisha kamoja kakapata ahueni ya maisha, ndio kanakamuliwa kuokoa ukoo mzima uliojaa watu unproductive..
 
Dunia itaendelea kuwepo maana kila kiumbe ana mfumo wake wa maisha. Ndio maana unaona hii population increase na teknolojia kukua inavyozidi kuiharibu dunia..

Lakini pia ukiangalia restrictions za uzazi China au huko kwingine ulaya ambapo hawazai sana, bado unaona hata system za kwetu tukizibadilisha bado kuna nanna dunia itaendelea kuwepo. Mfano bongo kuna wazazi wengi hawakutakiwa kuwa wazazi ila wanafyatua watoto ambao hawawezi kuwasimamia si kiuchumi, kiroho, kimakuzi wala kiakili. Mwisho wa siku akibahatisha kamoja kakapata ahueni ya maisha, ndio kanakamuliwa kuokoa ukoo mzima uliojaa watu unproductive..
Dunia ingekua sehemu nzuri na Salama sana 🤔
 
Pia kulea ni nature ya mwanadamu.
Ukikwepa mtoto utalea mbwa,paka n.k
Lakini hao hawawezi kuchukua asili yako mwenyewe.

Unakuta anapinga mtoto alafu analala na mbwa kitandani ama mbwa kama mtoto
 
Baaasi. Meaning hakuna jibu specific unapouliza nini faida ya kuwa na watoto maana hiyo si biashara, inategemeana na wewe ni binadamu wa aina gani na namna unavyotazama maisha.
Wewe unayatazamaje maisha? Kwa nini unazaa watoto?
 
Back
Top Bottom