The Second Law of Thermodynamics. In a closed system, unless redressed, entropy always increases and strangeness become normal until normal become strangeness, till nightfall and the big crunch.
Same reason why if you lock your room, no matter how airtight, dust will get in and cobweb will form.
You feel me?
hivi wadada msiporidhishwa na waume/bf zenu mnatafuta wanaume wengine wawakune au mnahamia kwa wanawake wenzenu? is it so easy ku-switch from 'hotdogs' to 'donuts' for you au mlikuwa mnatumia 'hotdogs' kama geresha?
jamii hairihusu watu ku-explore sexuality zao kwa uhuru.
Watu tunaishi kwa kufuata jamii inataka nini.
Inawezekana tumeolewa ama tumeoa lakini hatujui kama we like hotdogs or donuts
Kuna mambo mengi yanayochangia, baadhi yameshatajwa na luteni asigwa na mengine ni haya yafuatayo;
1. wanaume hawajui wajibu wao pindi wakikutana kimapenzi na wanawake, sana2 wanajijali wao tu na kuwaacha
wenza wao njia panda! hili linachukua nafasi kubwa !!
2. Upungufu wa maadili katika jamii, na ukosefu wa ujuzi juu ya athari za kusagana katika kijamii !!
3. Mkusanyiko wa jinsia moja kwa muda mrefu, kama vile girls boarding schools . Hili huwaathiri hata wanaume.
4. Ni matokeo ya kizazi fulani, kwani kila generation inakua na vituko vyake, kwa sasa tunayaona haya, siku zijazo
tunaweza kushuhudia mengineo....
still even without exploring, wewe moyo unavutiwa na nani gfsonwin (women) au watu8 (men)? siko convinced kwamba mumeo akikuchukiza then utaenda kulinafasi na dada mwenzio unless ulikuwa na mumeo kwa kuogopa kutengwa na jamii. atleast for men, its possible kujua kama huyu anapenda donut au hotdog from small age bila hata ku-do naye.jamii hairihusu watu ku-explore sexuality zao kwa uhuru.Watu tunaishi kwa kufuata jamii inataka nini.Inawezekana tumeolewa ama tumeoa lakini hatujui kama we like hotdogs or donuts
still even without exploring, wewe moyo unavutiwa na nani gfsonwin (women) au watu8 (men)? siko convinced kwamba mumeo akikuchukiza then utaenda kulinafasi na dada mwenzio unless ulikuwa na mumeo kwa kuogopa kutengwa na jamii. atleast for men, its possible kujua kama huyu anapenda donut au hotdog from small age bila hata ku-do naye.
true mama, i forgot the time element. i heard so many -ve terms about gays when growing up lakini siku hizi zimepungua especially kwa vijanaNachojaribu kusema ni kuwa, kuna presha kutoka kwenye jamii.
Hakuna anayetaka kuwa 'outcast' kwenye jamii yake mwenyewe.
Hata lile wazo tu la kufikiria mambo ya Homo is a taboo.
Unategemea katika mazingira hayo ni rahisi mtu kujua kama yuko into hotdog or donut?
Kizazi cha sasa, hata wavulana kutokana na exposure mnaweza tambua hilo, enzi zetu hata wao hawakuweza kujua hilo.
Sana sana tulikuwa tunawaita 'waoga, wavivu, wanamme majike' kutokana na tabia zao za kupenda kukaa jikoni ama na wanawake muda mwingi.
Unaweza kukuta baadhi walikuwa na element za homo ila hawajui ni nini, basi wanaishia kuonekana inferior species katika jamii ya kiume.
Kadhalika wanawake inawezakana wapo waliokutana na kadhia hiyo, ila kwa sababu hawakuwa wanajua ni nini, basi wakaishia kuolewa tu.
we muumini wetu kashakuharibu walahi!lol sa swali gani hilo kumswalika mwenzio!
true mama, i forgot the time element. i heard so many -ve terms about gays when growing up lakini siku hizi zimepungua especially kwa vijana. though it's still harder for parents.
Umeona eeh, waumini wanaweza ambukiza wachungaji baadhi ya dhambi! LOL
nataly leo kanichekesha sana!ishu ilikuwa ni usawa sijui haki sawa
sasa kapost kitu kina osama humo ndani,mama rwakatare,sijui uchumi wa marekani yani nimecheka hapa mezani sina mbavu loh!mwanamke pasua kichwa yule sina hamu nae!
ulikuwa na upako kweli?
Kemea kemea kabisa.
Mumeo unampa tigo?