Nini chanzo cha ongezeko la wasagaji?

Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,807
Likes
3,548
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,807 3,548 280
Mleta mada ngoja turudi kwenye historia kidogo. Usagaji na ushoga haujaanza leo katika historia ya mwanadamu. Hii kitu unaweza kuitrace back tokea nyakati za Sodoma na Gomora.
Wala tusizunguke sana katika hili na kumung'unya maneno. Yote haya ni matokeao ya kutokumwogopa na kumkataa Mungu. Sheria za Mungu zipo wazi kabisa, ndoa yajulikana ni baina ya mtu mke na mtu mume. Mungu aliumba jinsia mbili tu.
Lakini sasa kuna elimu ya mashetani ambayo ilinenwa ya kwamba Nyakati za Mwisho itajionesha dhahiri, wao wanaongeza jinsia ya tatu...ambao kwao Ushoga na Usagaji ni moja ya njia za kungonoka.
Kwa hiyo wote wanaofanya hivyo wala usiwashangae bali waonee huruma maana hao ni wana wa UOVU.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Likes
3,646
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 3,646 280
The Second Law of Thermodynamics. In a closed system, unless redressed, entropy always increases and strangeness become normal until normal become strangeness, till nightfall and the big crunch.

Same reason why if you lock your room, no matter how airtight, dust will get in and cobweb will form.

You feel me?
mkuu kiranga umenikumbusha mbali sana ila hapa naiona hii ni zeroth order
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,083
Likes
379
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,083 379 180
jamii hairihusu watu ku-explore sexuality zao kwa uhuru.

Watu tunaishi kwa kufuata jamii inataka nini.

Inawezekana tumeolewa ama tumeoa lakini hatujui kama we like hotdogs or donuts

hivi wadada msiporidhishwa na waume/bf zenu mnatafuta wanaume wengine wawakune au mnahamia kwa wanawake wenzenu? is it so easy ku-switch from 'hotdogs' to 'donuts' for you au mlikuwa mnatumia 'hotdogs' kama geresha?
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,369
Likes
14,406
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,369 14,406 280
Ain't Suck a D*ck No Homo.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,807
Likes
3,548
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,807 3,548 280
jamii hairihusu watu ku-explore sexuality zao kwa uhuru.

Watu tunaishi kwa kufuata jamii inataka nini.

Inawezekana tumeolewa ama tumeoa lakini hatujui kama we like hotdogs or donuts
Kwa hiyo wewe ni muumini wa Jinsia ya tatu?
 
yaser

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
1,372
Likes
88
Points
145
yaser

yaser

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
1,372 88 145
sasa kama wadada ndio wanaojua jins ya kumkuna mwanamke mwenzao kwann ictolewe somo hapa iwe faida hata kwa wanaume ili kudumisha ndoa na mahusiano yanayoelekea kuyumba.
Tuambiane tukune wap ili watu wafike ulaya.
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Likes
47
Points
145
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 47 145
Kuna mambo mengi yanayochangia, baadhi yameshatajwa na luteni asigwa na mengine ni haya yafuatayo;
1. wanaume hawajui wajibu wao pindi wakikutana kimapenzi na wanawake, sana2 wanajijali wao tu na kuwaacha
wenza wao njia panda! hili linachukua nafasi kubwa !!
2. Upungufu wa maadili katika jamii, na ukosefu wa ujuzi juu ya athari za kusagana katika kijamii !!
3. Mkusanyiko wa jinsia moja kwa muda mrefu, kama vile girls boarding schools . Hili huwaathiri hata wanaume.
4. Ni matokeo ya kizazi fulani, kwani kila generation inakua na vituko vyake, kwa sasa tunayaona haya, siku zijazo
tunaweza kushuhudia mengineo....
Kumbe ..........!
 
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Messages
2,280
Likes
12
Points
0
Blaine

Blaine

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2012
2,280 12 0
jamii hairihusu watu ku-explore sexuality zao kwa uhuru.Watu tunaishi kwa kufuata jamii inataka nini.Inawezekana tumeolewa ama tumeoa lakini hatujui kama we like hotdogs or donuts
still even without exploring, wewe moyo unavutiwa na nani gfsonwin (women) au watu8 (men)? siko convinced kwamba mumeo akikuchukiza then utaenda kulinafasi na dada mwenzio unless ulikuwa na mumeo kwa kuogopa kutengwa na jamii. atleast for men, its possible kujua kama huyu anapenda donut au hotdog from small age bila hata ku-do naye.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,083
Likes
379
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,083 379 180
Nachojaribu kusema ni kuwa, kuna presha kutoka kwenye jamii.

Hakuna anayetaka kuwa 'outcast' kwenye jamii yake mwenyewe.

Hata lile wazo tu la kufikiria mambo ya Homo is a taboo.

Unategemea katika mazingira hayo ni rahisi mtu kujua kama yuko into hotdog or donut?

Kizazi cha sasa, hata wavulana kutokana na exposure mnaweza tambua hilo, enzi zetu hata wao hawakuweza kujua hilo.

Sana sana tulikuwa tunawaita 'waoga, wavivu, wanamme majike' kutokana na tabia zao za kupenda kukaa jikoni ama na wanawake muda mwingi.

Unaweza kukuta baadhi walikuwa na element za homo ila hawajui ni nini, basi wanaishia kuonekana inferior species katika jamii ya kiume.

Kadhalika wanawake inawezakana wapo waliokutana na kadhia hiyo, ila kwa sababu hawakuwa wanajua ni nini, basi wakaishia kuolewa tu.

true mama, i forgot the time element. i heard so many -ve terms about gays when growing up lakini siku hizi zimepungua especially kwa vijana :). though it's still harder for parents.
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,083
Likes
379
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,083 379 180
ngumu sana kwa wazazi, mimi nikiwa mmoja wao.

At the end of the day, am playing my part kama mzazi. Mengine ni uamuzi wa mtoto mwenyewe na siwezi kumuua.

Japo kiukweli inauma sana, sana sana, sana tu.

true mama, i forgot the time element. i heard so many -ve terms about gays when growing up lakini siku hizi zimepungua especially kwa vijana :). though it's still harder for parents.
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
7,996
Likes
3,485
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
7,996 3,485 280
nataly leo kanichekesha sana!ishu ilikuwa ni usawa sijui haki sawa
sasa kapost kitu kina osama humo ndani,mama rwakatare,sijui uchumi wa marekani yani nimecheka hapa mezani sina mbavu loh!mwanamke pasua kichwa yule sina hamu nae!
Hebu niambie ni thread gani hiyo.......ujue mimi ni shabiki wa Natalia
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Likes
859
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 859 280
Mhh! Siku hizi uko advanced kweli kwa maswali
Kuna muumini mmoja wakati ninamfanyia deliverance, lipepo lake la uchokochoko likaniingia bakhti mbaya, itabidi nikaungame kwa Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
7,996
Likes
3,485
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
7,996 3,485 280
Kuna muumini mmoja wakati ninamfanyia deliverance, lipepo lake la uchokochoko likaniingia bakhti mbaya, itabidi nikaungame kwa Kaizer.
Kaizer mwenyewe ameamka na mning'inio, angalia usije ukapata na pepo jingine la divai na Ndovu
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,263,704
Members 486,019
Posts 30,160,870