Wimbi la ongezeko la wanawake wanaokula sana chanzo nini?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Apr 20, 2008
277
548
Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
 
Tafuta hela. Ukiona kuwa hadi kumlisha mke/mchumba kunakutoa jasho we ni masikini wa kutupwa.

Sasa kama kumlisha huwezi utaweza kumnunulia hata ki IST ww?

Duuh my friend amka usingizini ww usije jikojolea
Kumnunulia nini? Pacha wako au? Yaani mother wako atembee kwa mguu,mjinga atembelee IST! Kakusaidia nini labda maishani!
Af badae utasikia anapiga simu,eti wanaume wote mbwa!! Oh mara mama yako mmbeya,simpendi basi tu. Oh maswala ya kila dakika mama yako anaumwa siyahitaji tena humu ndani. Ohh hao ndugu zako hawajui hapa kwangu?
Hajui hata maji yalisombwaje,ila masharti ndo balaa. Mnawasapot wenyewe kwa kiburi na dhalau.
 
Mkuu, kwa hili la kupinga wanawake kupenda kula uko wrong sana. Watu wote yaani jinsia zote bila kujalisha rika, inatakiwa tule na tunywe kwelikweli. Kula na kunywa kwa sana ni dawa na huduma ya kwanza, inatuepusha na magonjwa nyemelezi kwakuwa mashine ya mwili saa zote inakuwa inafanya kazi inavyotakiwa. Faida nyingine ya kula na kunywa sana ni kupona haraka tunapoumwa.

Kwa mimi, mwanamke anayependa kula nampenda sana. Miaka ya zamani nilikuwa mtu wa kuuza sura sana nikiingia migahawani, utakuta mbele za watu naagiza sahani 3,5 n.k, japo ni kitendo cha ajabu kwa wengine lakini ilikuwa inanisadia kupata mademu, nimepata sana mademu kwa staili hii ya kuuza sura kwa kula. Kuna siku kama kawaida yangu naingia kwenye mgahawa mmojawapo kuuza sura, nikamkuta demu mkali kazipanga sahani 6 peke yake juu ya meza, nafikiri alipata habari kuna kaka anakujaga kuuza sura. Ebhana ile siku yule demu alinifunika, nilichekwa sana siku ile.
 
Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
njemba na misuli yako unaanza kulalama demu wako eti anakula sana hiyo ni roho ya kichawi sana
kwani majukumu yake hayafahamu ni yepi..............tena ashukuru amepata demu anayepiga msosi hiyo ni
kama anakumbushwa indirectly kuwa azidi kujituma kutafuta...........ebooo njemba inalalama mwanamke anakula sana
ungese tu huo
 
Ikifikia mahali ukaanza kusimanaga mtu eti anakula sana na ukaona unatumia gharama kumlisha basi mkuu rudisha mpira kwa kipa mechi ishakua ngumu Mourinho kapaki bus.
Kuelezana ukweli ndiyo kusimangana!!?? Kula kupita kiasi kuna madhara ya kiafya na kunaharibu muonekano na mvuto, mwanamke anakuwa na kiriba tumbo mamyama uzembe mwishowe penzi linafutika.
 
Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.
Inawezekana huko anakotoka lishe ni duni kwahiyo anafidia
 
Mkuu, kwa hili la kupinga wanawake kupenda kula uko wrong sana. Watu wote yaani jinsia zote bila kujalisha rika, inatakiwa tule na tunywe kwelikweli. Kula na kunywa kwa sana ni dawa na huduma ya kwanza, inatuepusha na magonjwa nyemelezi kwakuwa mashine ya mwili saa zote inakuwa inafanya kazi inavyotakiwa. Faida nyingine ya kula na kunywa sana ni kupona haraka tunapoumwa.

Kwa mimi, mwanamke anayependa kula nampenda sana. Miaka ya zamani nilikuwa mtu wa kuuza sura sana nikiingia migahawani, utakuta mbele za watu naagiza sahani 3,5 n.k, japo ni kitendo cha ajabu kwa wengine lakini ilikuwa inanisadia kupata mademu, nimepata sana mademu kwa staili hii ya kuuza sura kwa kula. Kuna siku kama kawaida yangu naingia kwenye mgahawa mmojawapo kuuza sura, nikamkuta demu mkali kazipanga sahani 6 peke yake juu ya meza, nafikiri alipata habari kuna kaka anakujaga kuuza sura. Ebhana ile siku yule demu alinifunika, nilichekwa sana siku ile.
Hizo sahani 3 na 6 ni za kipimo cha mkoa gani....?
 
Back
Top Bottom