- Joined
- Jan 23, 2012
- Messages
- 1,372
- Likes
- 88
- Points
- 145

yaser
JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012

kwa siku za karibun hili jambo naona linakua kwa kasi sana.
Wadada wengi wanapenda kuwa au kujiita wasagaji. Mara nyingi imekuwa kitu cha kawaida ktk mitandao yao ya kijamii au mitaani ktk maisha ya kawaida kujiita au kujitangaza hivyo.
Kwa wanaume najua wengi wanasema ni homon zinawatuma kuwa hivyo,na mara nyingi wengi wamekua wakianza toka utotoni japo co wote.
Kwa kinadada naona ni tofauti sana sababu wengi wao ndio wanaamua tu ukubwani kuwa hawataki tena wanaume bora wasagane wenyewe tu.
Wadau wenye kujua kina juu ya hili tuwekane wazi. Mawazo ya wadada nadhan yatakua na uzito zaid coz wao ndio watajwa ktk hili..
Gungukeni hapa!!!!!