Nini chanzo cha ongezeko la wasagaji?

Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,088
Likes
379
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,088 379 180
he he he, pepo la goTi na mning'inio si hatari?

Akutane na King'asti amonwege pepo la nyasi.

Kaizer mwenyewe ameamka na mning'inio, angalia usije ukapata na pepo jingine la divai na Ndovu

Last edited by a moderator:
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Likes
16
Points
135
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 16 135
Mumeo unampa tigo?
wewe unataka umpe nani? hawala ndiye wakula tingo na simumeo? maadili yamepotea kabisa tumrudieni Mungu tena kwa kufunga, toba na maombi kwa sana

Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,088
Likes
379
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,088 379 180
mmmh, bora hata ungemtizama usoni unayeongea naye.

Jf akili kumkichwa, people preach what they don't practice.

Wamereverse, siku hizi ni 'talk the walk'

wewe unataka umpe nani? hawala ndiye wakula tingo na simumeo? maadili yamepotea kabisa tumrudieni Mungu tena kwa kufunga, toba na maombi kwa sana

THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,993
Likes
2,014
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,993 2,014 280
mmmh, bora hata ungemtizama usoni unayeongea naye.

Jf akili kumkichwa, people preach what they don't practice.

Wamereverse, siku hizi ni 'talk the walk'

kweli kabisa

snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,564
Likes
4,905
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,564 4,905 280
Umeona eeh, waumini wanaweza ambukiza wachungaji baadhi ya dhambi! LOL
hhahahhahhahahahhahahhahah The Boss popote ulipo kuja kipande hii!haiwezekani badala ya wachungaji kukuambukiza upako we uwaambukize dhambi!ahahhahahhahhhhahah lol!hufai hata kidogo wewe!
sasa Kaunga kwa minajili hii basi deliverance inahitaji tuwe na nguvu sana kama mambo yenyewe ndo haya tusije sie do tukaomba kuwekewa mikono!ahahhahahahhahhahaha mi simo!

Last edited by a moderator:
K

kipimo

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Messages
828
Likes
1
Points
0
K

kipimo

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2010
828 1 0
mada kama hii kweli inafaa hata wizara ya maendeleo ya jinsia wanawake na watoto waichukue na kui-sema ama kuomba mchango wa wadau watz namna ya kupunguza tabia hizi zote 2 za ushoga na usagaji;hata kama yanafanyika kwa usiri mkubwa kama kila mwanajamii atalikemea hili kwa kauli moja utakuwa msaada mkubwa sana kwa serikali hata kuingiza mambo haya ktk katiba yetu kwamba hayakubaliki na hata wadhamini hawawezi kututisha kwani tutakuwa na msimamamo thabiti.

Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,146
Likes
8,510
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,146 8,510 280
Mimi hata sielewi kwa nini wanasagana
kuna katoto kamoja kasagaji maarufu sana kalinibrendia my best mhhh yaani kakamuweka kinyumba my best kanawekewa maji ya kuoga ni katoto tu lakini kalikuwa kanagombaniwa na wasichana mpaka sielewi ana nini cha kugombaniwa hivyo??
Wa pili sasa mdada wa sales kampuni ya soft drinks jirani yangu yeye akikuingiza rum anavyodai atakurubuni mpaka akusage maana asipokusaga ukitoka nje utajisifia
yaani na kenyewe katoto kadogo hata sielewi
na akiwasaga wanamganda na kumgombania na kanahongwa balaa
jamani

Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,146
Likes
8,510
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,146 8,510 280
The Second Law of Thermodynamics. In a closed system, unless redressed, entropy always increases and strangeness become normal until normal become strangeness, till nightfall and the big crunch.

Same reason why if you lock your room, no matter how airtight, dust will get in and cobweb will form.

You feel me?
kiranga ukiongeaga hivi mimi unanichanganyaga kweli
jamani hata siku moja tumia kiswahili hata kama hujui vizuri mi nitajitahidi kukuelewa tu
hakyamungu unanipa tabu kama nini
na hayo makemia yako ndo kabisaaa maana nilisomaga mwisho form 2 tu kemia kisha nikaenda HKL

Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,580
Likes
856
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,580 856 280
yaani anataka Nataly aseme kama yale mahela yote na mavakesheni anayalipia kwa samadi?
Hili sio swali, naomba akaombewe haraka
Una akili weye!

lakini jibu la swali ni rahisi sana (ndiyo au hapana)

Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,146
Likes
8,510
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,146 8,510 280
Kuna hii niliishuhudia abt 1 and half year ago
pale opposite na mango garden kuna kiglosary kimoja
alikuwa mmama mtu mzima hasa na tena kwa umri wake anatakiwa awe na wajukuu kama hana.
Alikuwa na wakaka wa makamo age 30's au 40's wakawa wanakunywa bia mara akaja mkaka na mdada.
Yule mdada akaanza kubishana na yule mama mara analia (mimi mmbea na najijua nilikuwa nakula chabo tu)mmama akawa anambembeleza mara anampapasa bint haachi kulia tu
kidogo anaanza kumlaumu yule kaka aliyekuja nae najaribu kumquote''we unaweza kunifanyia hivi??ahsante sana sikutegemea''.Mara mmama akakasirika akapaza sauti
'' wewe mimi nina hela hawa wote wafanyakazi wangu nitakuvalisha dhahabu mwili mzima,tutasafiri wote dubai utakaa kwenye jumba langu lina swimming pool ndani,nitakupa kila kitu utakuwa mdada wa mjini we unafikiri wakina ....(akamtaja jina mtangazaji mmoja wa kike maarufu mjini)unafikiri kwa nini wanaendesha magari??na china kila siku wanaenda?
Mimi ndo kila kitu
akambusu na kumfuta machozi na mpapaso wa nguvu ...yaliyoendelea sikuyajua
maana mda wa kkuondoka ulifika.
Nilichokiona kuwa wale wanaume wanamtafutia wanawake yule mama msagaji sasa inaelekea yule bint aliambiwa tu twende ukanywe bia za bure au twende kuna buzi lina hela kishenzi ukalichune...
Wanawake kazi kwetu
tuthamini kidogo tunachokipata

Loyal_Merchant

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
657
Likes
90
Points
45
Loyal_Merchant

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
657 90 45
By Kiranga

The Second Law of Thermodynamics. In a closed system, unless redressed, entropy always increases and strangeness become normal until normal become strangeness, till nightfall and the big crunch.

Same reason why if you lock your room, no matter how airtight, dust will get in and cobweb will form.

You feel me?

mkuu kiranga umenikumbusha mbali sana ila hapa naiona hii ni zeroth order
If A=B, B=C then C=A

Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,697
Likes
1,570
Points
280
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,697 1,570 280
Kuna mambo mengi yanayochangia, baadhi yameshatajwa na luteni asigwa na mengine ni haya yafuatayo;
1. wanaume hawajui wajibu wao pindi wakikutana kimapenzi na wanawake, sana2 wanajijali wao tu na kuwaacha
wenza wao njia panda! hili linachukua nafasi kubwa !!
2. Upungufu wa maadili katika jamii, na ukosefu wa ujuzi juu ya athari za kusagana katika kijamii !!
3. Mkusanyiko wa jinsia moja kwa muda mrefu, kama vile girls boarding schools . Hili huwaathiri hata wanaume.
4. Ni matokeo ya kizazi fulani, kwani kila generation inakua na vituko vyake, kwa sasa tunayaona haya, siku zijazo
tunaweza kushuhudia mengineo....

In-dhari:
1. Jamii ilikemee suala hili kuanzia majumbani, kupitia vyombo vya habari na hasa2 mashuleni.
2. Wanaume hasa2 vijana, mnatakiwa muwajibike ipasavyo katika kuwahudumia mabinti kimapenzi ili wasishawishike
na njia mbadala...
well said

CUTE

CUTE

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
1,236
Likes
4
Points
0
CUTE

CUTE

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
1,236 4 0
1.ongezeko la vibamia duniani....yani 99% ya wakaka vibamia
2.wanawake wanafanya vizuri kuliko wakaka( wako so romantic in love making than men)
3.wadada wana care na wako so polite kuliko wakaka...izo ni chache sana ila namba moja ndio sababu kuu

CUTE

CUTE

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
1,236
Likes
4
Points
0
CUTE

CUTE

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
1,236 4 0
Kuna hii niliishuhudia abt 1 and half year ago
pale opposite na mango garden kuna kiglosary kimoja
alikuwa mmama mtu mzima hasa na tena kwa umri wake anatakiwa awe na wajukuu kama hana.
Alikuwa na wakaka wa makamo age 30's au 40's wakawa wanakunywa bia mara akaja mkaka na mdada.
Yule mdada akaanza kubishana na yule mama mara analia (mimi mmbea na najijua nilikuwa nakula chabo tu)mmama akawa anambembeleza mara anampapasa bint haachi kulia tu
kidogo anaanza kumlaumu yule kaka aliyekuja nae najaribu kumquote''we unaweza kunifanyia hivi??ahsante sana sikutegemea''.Mara mmama akakasirika akapaza sauti
'' wewe mimi nina hela hawa wote wafanyakazi wangu nitakuvalisha dhahabu mwili mzima,tutasafiri wote dubai utakaa kwenye jumba langu lina swimming pool ndani,nitakupa kila kitu utakuwa mdada wa mjini we unafikiri wakina ....(akamtaja jina mtangazaji mmoja wa kike maarufu mjini)unafikiri kwa nini wanaendesha magari??na china kila siku wanaenda?
Mimi ndo kila kitu
akambusu na kumfuta machozi na mpapaso wa nguvu ...yaliyoendelea sikuyajua
maana mda wa kkuondoka ulifika.
Nilichokiona kuwa wale wanaume wanamtafutia wanawake yule mama msagaji sasa inaelekea yule bint aliambiwa tu twende ukanywe bia za bure au twende kuna buzi lina hela kishenzi ukalichune...
Wanawake kazi kwetu
tuthamini kidogo tunachokipata
duh! hii kali jamani

CUTE

CUTE

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Messages
1,236
Likes
4
Points
0
CUTE

CUTE

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2012
1,236 4 0
Mimi hata sielewi kwa nini wanasagana
kuna katoto kamoja kasagaji maarufu sana kalinibrendia my best mhhh yaani kakamuweka kinyumba my best kanawekewa maji ya kuoga ni katoto tu lakini kalikuwa kanagombaniwa na wasichana mpaka sielewi ana nini cha kugombaniwa hivyo??
Wa pili sasa mdada wa sales kampuni ya soft drinks jirani yangu yeye akikuingiza rum anavyodai atakurubuni mpaka akusage maana asipokusaga ukitoka nje utajisifia
yaani na kenyewe katoto kadogo hata sielewi
na akiwasaga wanamganda na kumgombania na kanahongwa balaa
jamani
umeshuhudia mengi sana in ur life jamani ...pole mana inaonekana hutaki kuyaona ila ndio unayaona kila siku

Bosco Ntaganda

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
579
Likes
29
Points
45
Bosco Ntaganda

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
579 29 45
Kwahiyo tatizo nini? Muafaka ni upi?

Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,291
Likes
24,057
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,291 24,057 280
Point ya pili na ya tatu ziko valid. Only mwanamke ndiye anayejuwa hisia za mwanamke mwenzake wakati wa shughuli. Si wanaume wengi wanaojuwa namna ya kumfurahisha mwanamke kitandani wengi wetu ni mabongo fleva (feki), na ukipiga kimoja tu unawaza kumwacha huyo mwanamke ukapige mwingine wakati huyu uliye naye hujamfurahisha kitandani. Hapa ndipo unakuta demu anashikwa na hasira na tendo la ndoa kwake linakuwa karaha hivyo utafuta mwenzake wasuguane na kupeana hisia mwanana.
Ni kweli kabisa mkuu maana wanaume wanachelenga ni kulipua risasi tu lakini hawaangalii kama mlengwaji "kaumia" au lah...ndi maana mwanamke akishaanza haka kamchezo huwa hatamani tena mwanaume

Somoe

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
754
Likes
147
Points
60
Somoe

Somoe

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
754 147 60
kwa siku za karibun hili jambo naona linakua kwa kasi sana.wadada wengi wanapenda kuwa au kujiita wasagaji. Mara nyingi imekua kitu cha kawaida ktk mitandao yao ya kijamii au mitaani ktk maisha ya kawaida kujiita au kujitangaza hivyo. Kwa wanaume najua wengi wanasema ni homon znawatuma kuwa hivyo,na mara nyingi wengi wamekua wakianza toka utotoni japo co wote.kwa kinadada naona ni tofauti sana sababu wengi wao ndio wanaamua tu ukubwani kuwa hawataki tena wanaume bora wasagane wenyewe tu.wadau wenye kua kina na hili tuwekane wazi.

Mawazo ya wadada nadhan yatakua na uzito zaid coz wao ndio watajwa ktk hili..
Gungukeni hapa!!!!!

uborawa wanaume umeisha

Forum statistics

Threads 1,263,065
Members 485,791
Posts 30,141,215