kwa siku za karibun hili jambo naona linakua kwa kasi sana.wadada wengi wanapenda kuwa au kujiita wasagaji. Mara nyingi imekua kitu cha kawaida ktk mitandao yao ya kijamii au mitaani ktk maisha ya kawaida kujiita au kujitangaza hivyo. Kwa wanaume najua wengi wanasema ni homon znawatuma kuwa hivyo,na mara nyingi wengi wamekua wakianza toka utotoni japo co wote.kwa kinadada naona ni tofauti sana sababu wengi wao ndio wanaamua tu ukubwani kuwa hawataki tena wanaume bora wasagane wenyewe tu.wadau wenye kua kina na hili tuwekane wazi. Mawazo ya wadada nadhan yatakua na uzito zaid coz wao ndio watajwa ktk hili..
Gungukeni hapa!!!!!
Jiulize kwa nini wanawake wanatumia vibrator,na kwa nini wanaume wanawaomba wake zao kula tigo .sex is very controversial ni Siri ya chumbanikwa siku za karibun hili jambo naona linakua kwa kasi sana.wadada wengi wanapenda kuwa au kujiita wasagaji. Mara nyingi imekua kitu cha kawaida ktk mitandao yao ya kijamii au mitaani ktk maisha ya kawaida kujiita au kujitangaza hivyo. Kwa wanaume najua wengi wanasema ni homon znawatuma kuwa hivyo,na mara nyingi wengi wamekua wakianza toka utotoni japo co wote.kwa kinadada naona ni tofauti sana sababu wengi wao ndio wanaamua tu ukubwani kuwa hawataki tena wanaume bora wasagane wenyewe tu.wadau wenye kua kina na hili tuwekane wazi. Mawazo ya wadada nadhan yatakua na uzito zaid coz wao ndio watajwa ktk hili..
Gungukeni hapa!!!!!
Sio kuiga it's about attractionKwanza Ondoa dhana kuwa hawaridhishwi na wanaume au kutofikishwa kileleni, Wasiofikishwa hawafanyi usagaji, Suala kubwa ni kuiga utamaduni wa kimagharibi, na ulimbukeni wa akina dada wengine wanapenda 3 some, Hata wanaume wengine wanaanza wengine wameanza ushoga ukubwani kwa sababu tofauti, kama tamaa ya maisha ya hali ya juu, Kwani msagaji hawi na Boy friend No wanakuwa nao, Hata Mashoga wengine wana wake zao pia,
Sio kuiga it's about attraction
Kwanza Ondoa dhana kuwa hawaridhishwi na wanaume au kutofikishwa kileleni, Wasiofikishwa hawafanyi usagaji, Suala kubwa ni kuiga utamaduni wa kimagharibi, na ulimbukeni wa akina dada wengine wanapenda 3 some, Hata wanaume wengine wanaanza wengine wameanza ushoga ukubwani kwa sababu tofauti, kama tamaa ya maisha ya hali ya juu, Kwani msagaji hawi na Boy friend No wanakuwa nao, Hata Mashoga wengine wana wake zao pia,
Kuna mambo mengi yanayochangia, baadhi yameshatajwa na luteni asigwa na mengine ni haya yafuatayo;
1. wanaume hawajui wajibu wao pindi wakikutana kimapenzi na wanawake, sana2 wanajijali wao tu na kuwaacha
wenza wao njia panda! hili linachukua nafasi kubwa !!
2. Upungufu wa maadili katika jamii, na ukosefu wa ujuzi juu ya athari za kusagana katika kijamii !!
3. Mkusanyiko wa jinsia moja kwa muda mrefu, kama vile girls boarding schools . Hili huwaathiri hata wanaume.
4. Ni matokeo ya kizazi fulani, kwani kila generation inakua na vituko vyake, kwa sasa tunayaona haya, siku zijazo
tunaweza kushuhudia mengineo....
In-dhari:
1. Jamii ilikemee suala hili kuanzia majumbani, kupitia vyombo vya habari na hasa2 mashuleni.
2. Wanaume hasa2 vijana, mnatakiwa muwajibike ipasavyo katika kuwahudumia mabinti kimapenzi ili wasishawishike
na njia mbadala...
1)STRESS ZA MAISHA
2)RAHA YA KAMCHEZO kenyewe
3)wanaume siku hizi hawawaridhishi..........
Jiulize kwa nini wanawake wanatumia vibrator,na kwa nini wanaume wanawaomba wake zao kula tigo .sex is very controversial ni Siri ya chumbani
we muumini wetu kashakuharibu walahi!lol sa swali gani hilo kumswalika mwenzio!Mumeo unampa tigo?
we muumini wetu kashakuharibu walahi!lol sa swali gani hilo kumswalika mwenzio!
ahahahhahahhahahhahhahahha umeona enh!loltena kaharibikiwa vibaya
ahahahhahahhahahhahhahahha umeona enh!lol
yaani anataka Nataly aseme kama yale mahela yote na mavakesheni anayalipia kwa samadi?
Hili sio swali, naomba akaombewe haraka