mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Wanataka wao tu ndio watembee na magari latest ili tuheshimiame, wanyonge wao wakomae na vi-corolla E100 hahah
Hili hata mimi silielewi.
Ingekuwa rahisi kuimport gari watu wangeacha kutumia magari yaliyochakaa. Yangekuwa yanaluwa scraped wao wananunua mapya.