Nini athari za kupunguza kodi ya kuingiza magari nchini?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kodi kubwa kiasi cha kufanya wengi kushindwa ama kuagiza magari toka nje au kushindwa kuyakomboa bandarini. Kwa nini serekali isiweke mfumo rahisi wa kulipia mapato ya kuagiza gari toka nje na iwe rahisi kama kodi ya kuagiza simu au nguo?? Najua ni rahisi ila sijui kwa nini wamefanya vile.

Ipo CALCULATOR ya TRA lakini kuitumia kwa mtu asiye mzoefu inakuingiza majanga ya kushindwa Kulipia gari bandarini. Napendekeza iwe hivi.

Magari yaliyotengenezwa mwaka flan hadi flan kodi yake iwe kwenye % let say 2000 kurudi nyuma =50%
2001-2009=35%
2010-2019=20%

Garama nyingine ziwe kwenye mfumo wa % ili iwe rahisi kwa mwananchi kujikadiria garama halisi kabla ya gari kufika bandarini.

Unaweza kupunguza garama za kuagiza gari kwa 25% ikapelekea mapato kuongezeka kwa 150% ambayo yatatokana na umunuzi wa mafuta, Ajira, leseni, vipuri, vibali mbalimbali, kuimarika kwa usafiri hasa vijijini,

Kuwe na utaratibu wa mwananchi kulipia garama zote na gari kabla ya kufika bandarini. ikifika bandarini unaichukua tuu. Hii itaepusha kubambikiwa garama zisizoeleweka. Ukishalipia garama zote gari ikafika bandarini garama nyingine zitazokuja baadae hazikuhusu labda kama ulidanganya taarifa halisi za gari.

Wigo wa msamaha wa kodi uingezwe kidogo hadi kwenye magari ya usafirishaji kama Canter, Fuso na Pikup. Hizi ziwe zinafanya kazi maeneo ya vijijini na mikoani katika kusaidia kusafirisha mizigo na mazao ya wakulima na kuinua kilimo na uchumi wa vijijini. Hapa tunaweza kuweka kuweka mfumo gari hizi kupewa special namba na kupakwa rangi maalumu na zipewe maeneo maalumu ya kufanya kazi hasa vijijini na mashambani. Hii itainua kidogo na kupunguza adha ya usafurishaji wa mazao.

NB: kuweka kodi kubwa kwenye magari yaliyetengenezwa miaka mingi kwa kigezo cha kuchafua mazingira sio SAWA kwa kua magari yanachafua mazingira kwa kiwango kidogo kuliko viwanda na shughuli nyingine za binadamu. Tanzania sio mchafuzi wa maIngira, Pia magari yalitotengnezwa kwati ya 1990-1999 kama pikup,canter, na malori ya saizi ya kati mi imara kuliko ya 2005+ pia yanastahimili sana mazingira ya Tanzania ambapo barabara ni mbovu hivyo kurahisisha shughuli za maendeleo kama usafirishaji wa mazao toka mashambani na shughuli mbalimbali za maendeleo.

Nawasilisha
 
Kabla hawajalifanyia kazi wazo lako wajenge shortcut way zote za jijin dar es Salaam na za kuconect mikoa ili isije kuwa usumbufu mkubwa kuliko uwo wa bandalini apo

Hahaha Nachangia tu Mzee
 
Magari yaliyotengenezwa mwaka flan hadi flan kodi yake iwe kwenye % let say 2000 kurudi nyuma =50%
2001-2009=35%
2010-2019=20%

Garama nyingine ziwe kwenye mfumo wa % ili iwe rahisi kwa mwananchi kujikadiria garama halisi kabla ya gari kufika bandarini.
Wafanya biashara wanaleta risiti feki ambayo sio bei halisi ya gari ili walipe kodi ndogo, lakini TRA si walishaangalia bei halisi ya magari ya Japana kutokana na condition zake na wakaamua kuweka bei halisi na bei ya ushuru wake?
 
Sawa wanaweza kuthibiti hilo kwa kua na cinnection ya moja kwa moja kati ya serwkali na makampuni ya uuzaji wa magari... Hilo ni tatizo ila ndo ununue gari japan kwa $1,200 hadi kufika bongo iwe milion 14??
 
Serikali bado haina barabara za kutosha lazima wabane ili wasielemewe
Magari mengi yapo mjini mkuu hasa miji mikubwa kama Dar ,mwanza na Arusha ila ukweli kwa Tanzania bado wapo wengi wenye uhitaji ila wanashindwa kutokana na kodi kubwa!! Hasa wakulima vijijini wana uhitaji wa pikup kwa usafirishaji wa mazao ila ndo hivyo
 
Mi kuna kitu huwa kinanishangaza, lengo la kuweka kodi kubwa mfano kama tulivyofanya kwenye maziwa ni ili kulinda wazalishaji maziwa wa ndani, lakini kwenye magari hatuna viwanda, sasa hii ni kuumizana tu
Tungekua na viwanda sawa ila kwa hili linaumuza sana yaan kodi inadouble bei ya gari sio sawa maana wakiounguza bei wengi watamudu na mapato ya mafuta licence itaongezeka pia soko la vipuri litaongeza wigo wa kodi
 
Kabla hawajalifanyia kazi wazo lako wajenge shortcut way zote za jijin dar es Salaam na za kuconect mikoa ili isije kuwa usumbufu mkubwa kuliko uwo wa bandalini apo

Hahaha Nachangia tu Mzee
Hoja aina mashiko hii. Wacha magari yawe mengi Kama simu, serikali itapata faida kwy petrol na vipuri na tasnia nzima ya utengenezaji
 
Sawa wanaweza kuthibiti hilo kwa kua na cinnection ya moja kwa moja kati ya serwkali na makampuni ya uuzaji wa magari... Hilo ni tatizo ila ndo ununue gari japan kwa $1,200 hadi kufika bongo iwe milion 14??
Iko hivi magari mengi madogo enzi za JK yalikuwa yanalipiwa ushuru wa sh mil 2 laki 6 hadi milioni 2 laki tisa, ilikuwa inachezea hapo sasa Mzee mzima alipoingia alibaini kuna magari mengi yanaingia akaona ni fursa kwake kuongeza ushuru ili akusanye zaidi ndio akaongeza kama double ikawa mil 5 hadi 6 sasa ukijumlisha unakuta bei inakuwa ghali wakati mwingine kununua unaloliona hapa nchini kwa anayetumia na ana shida na hela, ni rahisi kuliko kununua nje ya nchi pamoja na kuwa tunahitaji ubora wa Japan lakini wakati mwingine inakuwa ngumu sana. nilikuwa nanunua Subaru Wagon kwa CIF dola 1800 hadi elf 2 wakati huo ilikuwa kama sh mil 4 hivi, sasa ushuru niilikuwa nalipia mil 2 laki 7 huku nilikuwa nauza mil 8 hadi 10 maana ilikuwa inalipa. alipoingia jamaa na kuongeza ushuru niliacha kabisa nlijikuta ushuru na kununua inafika mil 9 hadi 10 sasa nitauza ngapi nani atanipa mil 12 hakuna niliamua kuacha kabisa. ila ndo hivyo
 
Acha tu mkuu, yaani wanapiga hela kuzidi hata aliyeuza huko Japana
 
Sure mkuu kama ulikua na uwezo kwa kuuza magari 3 kwa week na ulalipa kodi ya milioni 12 wakipunguza kodi utakuta unauza hadi gari 10 kwa week na ukalipa kodi ya milion 25 hapo faida inakua kwa serekali maana kodi imeongezeka na pia mapato yataongezeka kwenye mafuta, tair,vipuri na ajira kwenye gereji n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom