Nini athari za kupunguza kodi ya kuingiza magari nchini?

Aisee we jamaa acha uongo uongo hatujaanza kununua magari leo,tangu enzi za JK kodi za magari ni tatizo tu.
Wacha maneno ww enzi za JK kodi ilikuwa chini lets say gharama za ununuzi hadi usafirisha labda ni 6m kodi ungelipa 2m mpaka 2.7m lakn ss hivi gari la gharama zilezile unaweza kulipa kodi hadi 7m,hapo tutaacha kusema enzi za kikwete kodi ilikuwa rahis?
 
Hakuwahi kwasababu baada ya kumaliza chuo kikukuu akawa Mwalimu then akawa mbunge then akawa naibu waziri then Waziri then Raisi hivyo hawezi kujua shida hizo za TRA
Acha uongo hakuna watu wanaoenda kufanya manuver kule TRA ya kuomba favour kwny kodi kama hao wakubwa huko serikalini maana magari yao binafsi wanayoingiza mostly ni yale expensive/latest so wanajua TRA inavyowaumiza vzr sana.
 
Wacha maneno ww enzi za JK kodi ilikuwa chini lets say gharama za ununuzi hadi usafirisha labda ni 6m kodi ungelipa 2m mpaka 2.7m lakn ss hivi gari la gharama zilezile unaweza kulipa kodi hadi 7m,hapo tutaacha kusema enzi za kikwete kodi ilikuwa rahis?
Nakupuuza.
 
Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kodi kubwa kiasi cha kufanya wengi kushindwa ama kuagiza magari toka nje au kushindwa kuyakomboa bandarini. Kwa nini serekali isiweke mfumo rahisi wa kulipia mapato ya kuagiza gari toka nje na iwe rahisi kama kodi ya kuagiza simu au nguo?? Najua ni rahisi ila sijui kwa nini wamefanya vile.

Ipo CALCULATOR ya TRA lakini kuitumia kwa mtu asiye mzoefu inakuingiza majanga ya kushindwa Kulipia gari bandarini. Napendekeza iwe hivi.

Magari yaliyotengenezwa mwaka flan hadi flan kodi yake iwe kwenye % let say 2000 kurudi nyuma =50%
2001-2009=35%
2010-2019=20%

Garama nyingine ziwe kwenye mfumo wa % ili iwe rahisi kwa mwananchi kujikadiria garama halisi kabla ya gari kufika bandarini.

Unaweza kupunguza garama za kuagiza gari kwa 25% ikapelekea mapato kuongezeka kwa 150% ambayo yatatokana na umunuzi wa mafuta, Ajira, leseni, vipuri, vibali mbalimbali, kuimarika kwa usafiri hasa vijijini,

Kuwe na utaratibu wa mwananchi kulipia garama zote na gari kabla ya kufika bandarini. ikifika bandarini unaichukua tuu. Hii itaepusha kubambikiwa garama zisizoeleweka. Ukishalipia garama zote gari ikafika bandarini garama nyingine zitazokuja baadae hazikuhusu labda kama ulidanganya taarifa halisi za gari.

Wigo wa msamaha wa kodi uingezwe kidogo hadi kwenye magari ya usafirishaji kama Canter, Fuso na Pikup. Hizi ziwe zinafanya kazi maeneo ya vijijini na mikoani katika kusaidia kusafirisha mizigo na mazao ya wakulima na kuinua kilimo na uchumi wa vijijini. Hapa tunaweza kuweka kuweka mfumo gari hizi kupewa special namba na kupakwa rangi maalumu na zipewe maeneo maalumu ya kufanya kazi hasa vijijini na mashambani. Hii itainua kidogo na kupunguza adha ya usafurishaji wa mazao.

Nawasilisha
Udhoefu wa Nchi nyingine upoje?
 
Kitu pekee serikali ilishawahi kukisikiliza na kukifanyia kazi kinachohusiana na magari ni kuondoa road license na kuihamishia kwenye mafuta basi.

Mengine yote yanayohusiana na swala la magari wanatia pamba masikioni.
Kuna siku watasikia tu lakini
 
Tunaviwanda vya magari sasa tukiachia tu magari yaingie hovyohovyo tutauwa viwanda vyetu. Tena napendekeza waongeze kodi iwe sawa na bei ya gari mpya. Tukilinde Kiwanda chetu cha nyumbu
Fala wewe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tunaviwanda vya magari sasa tukiachia tu magari yaingie hovyohovyo tutauwa viwanda vyetu. Tena napendekeza waongeze kodi iwe sawa na bei ya gari mpya. Tukilinde Kiwanda chetu cha nyumbu
Nyumbu wanatengeneza toys za watoto eti wanaita magari
 
Kiufupi Tanzania ni moja ya nchi chache Africa zenye kiwango kidogo cha kodi kwenye magari 2nd hand..... Mtu kushindwa kutumia calculator ya tra huo ni uzembe uiopitiliza ambao hatupaswi kuintataini ujinga wa kiasi hicho, by the way kumiliki gari Tanzania bado ni rahisi sana ukilinganisha na nchi nyingine.
Akili huna wewe
 
Mimi ningependekeza waweke kodi kubwa kwenye mafuta na wapunguze kodi kwenye magari hasa magari ya mizigo
Huo ndio uvivu wa kufikiri wa watanzania .Taifa la wapumbavu wasio Kuwa na ubunifu kwenye kila kitu . Kwanini visibuniwe vyanzo vingine vya mapato ? .Na badala yake watu wanashindwa kuafford basic necessity kama hii ? . Kwa kuweka kodi za kipuuzi ? .Taifa la watu wasiohoji na wanaoendeshwa kama ng'ombe .Godamn it !
 
Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kodi kubwa kiasi cha kufanya wengi kushindwa ama kuagiza magari toka nje au kushindwa kuyakomboa bandarini. Kwa nini serekali isiweke mfumo rahisi wa kulipia mapato ya kuagiza gari toka nje na iwe rahisi kama kodi ya kuagiza simu au nguo?? Najua ni rahisi ila sijui kwa nini wamefanya vile.

Ipo CALCULATOR ya TRA lakini kuitumia kwa mtu asiye mzoefu inakuingiza majanga ya kushindwa Kulipia gari bandarini. Napendekeza iwe hivi.

Magari yaliyotengenezwa mwaka flan hadi flan kodi yake iwe kwenye % let say 2000 kurudi nyuma =50%
2001-2009=35%
2010-2019=20%

Garama nyingine ziwe kwenye mfumo wa % ili iwe rahisi kwa mwananchi kujikadiria garama halisi kabla ya gari kufika bandarini.

Unaweza kupunguza garama za kuagiza gari kwa 25% ikapelekea mapato kuongezeka kwa 150% ambayo yatatokana na umunuzi wa mafuta, Ajira, leseni, vipuri, vibali mbalimbali, kuimarika kwa usafiri hasa vijijini,

Kuwe na utaratibu wa mwananchi kulipia garama zote na gari kabla ya kufika bandarini. ikifika bandarini unaichukua tuu. Hii itaepusha kubambikiwa garama zisizoeleweka. Ukishalipia garama zote gari ikafika bandarini garama nyingine zitazokuja baadae hazikuhusu labda kama ulidanganya taarifa halisi za gari.

Wigo wa msamaha wa kodi uingezwe kidogo hadi kwenye magari ya usafirishaji kama Canter, Fuso na Pikup. Hizi ziwe zinafanya kazi maeneo ya vijijini na mikoani katika kusaidia kusafirisha mizigo na mazao ya wakulima na kuinua kilimo na uchumi wa vijijini. Hapa tunaweza kuweka kuweka mfumo gari hizi kupewa special namba na kupakwa rangi maalumu na zipewe maeneo maalumu ya kufanya kazi hasa vijijini na mashambani. Hii itainua kidogo na kupunguza adha ya usafurishaji wa mazao.

Nawasilisha
Lengo ni kuzuia wengi wao kutoonekana wenye nacho Ili hali hawanacho.
 
Blaza sijawahi tumia tecno...Mercedes gari ya kawaida sana mkuu
Kiufupi Tanzania ni moja ya nchi chache Africa zenye kiwango kidogo cha kodi kwenye magari 2nd hand..... Mtu kushindwa kutumia calculator ya tra huo ni uzembe uiopitiliza ambao hatupaswi kuintataini ujinga wa kiasi hicho, by the way kumiliki gari Tanzania bado ni rahisi sana ukilinganisha na nchi nyingine.
Siyo kweli. Kuna nchi tena majirani zetu ni rahisi zaidi kumiliki gari kuliko Tanzania. Tanzania tunaumizana na kodi za uchakavu na hili la kutumia CIF yao badala ya iliyopo kwenye invoice
 
Mimi naona kama kodi itapungua au itakua rahisi kwa kila mtu kuingiza gari let say kwa sasa wa tz tuko milioni 50 haya tutoe watoto hapo kama milioni10 sasa imagine magari yawe milioni 40 je tutayaendeshea wapi? hivi hivi tu foleni kibao sasa ndio yawe mengi kama simu tutaendeshaje? Na kama hayataendesheka serikari itapataje kodi kwa upande wa mafuta? itapata tu kodi ya kuingizia magari nchini. Haya ukiangalia na hasara zingine pollution etc hata mabasi watu hawatapamda maana kila mtu ana gari yake kwa hiyo hata kodi kwa wafanyabishara wa magari itapungua wacha iwe hivi hivi tu bana tupunguze msongamano na balance katika biashara.
Mawazo ya kimasikini sana haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom