Acha uzushi na Kumuonea Rais..hili suala la kodi kuwa juu hata Rais wa Sasa kalikuta na ninaamini atalirekebishaHuyu Rais wenu mshamba sana.
Sure kaka tumekaa ukiritimba sana magari yakiongezeka hata garama za usafirishaji mazao vijijini zutapungua.vipuri vitanunulisazaidi, ajira kwa bijana zitaongezeka, leseni, vibali vitaongezeka so mapato yataongezeka maradufuYote mnayozungumza hapo wakubwa nilishayafikiria na kuyapatia majibu lakini bado hakuna Tija yoyote. Akili za kimasikini zinatutesa mno. Gari kwa maisha tuliyonayo sasa hivi sio kitu cha anasa tena, ni moja kati ya vitendea kazi vya msingi sana.
Mfano, waseme tu magari yatakayokuwa yanaingizwa nchini yasizidi miaka kumi, kodi ya kuingizia gari iwe hata miliini mbili tu, ili sasa magari mengi yaingie yakiingia yatatumia mafuta, means TRA itakusanya kodi nyingi mno kwenye mafuta kuliko ya mara moja ya bandarini
Yaani unataka walimu watusumbue huku mtaani? Yaani mpaka Mkulima amiliki mkoko? Hii itakuwa kashfa mkuu! Hayo ndiyo mawazo ya viongozi wa CCM, eti wakasingizia kwamba watu wanaagiza magari chakavu ndiyo maana wakaweka kodi kubwa!Magari mengi yapo mjini mkuu hasa miji mikubwa kama Dar ,mwanza na Arusha ila ukweli kwa Tanzania bado wapo wengi wenye uhitaji ila wanashindwa kutokana na kodi kubwa!! Hasa wakulima vijijini wana uhitaji wa pikup kwa usafirishaji wa mazao ila ndo hivyo
Alishiriki kwenye kulipitisha! Yaani huyu asitenganishwe na maovu yaliyowahi kutokea katika nchi hii!Acha uzushi na Kumuonea Rais..hili suala la kodi kuwa juu hata Rais wa Sasa kalikuta na ninaamini atalirekebisha
Hahahaha mawazo ya kimaskini hayo kama gari itanunua jaoan kwa $1,800 hadi kuipata ikawa milion 6 wengi watamudu ila sio wote hata makusanyo ya kodi yataongezekaYaani unataka walimu watusumbue huku mtaani? Yaani mpaka Mkulima amiliki mkoko? Hii itakuwa kashfa mkuu! Hayo ndiyo mawazo ya viongozi wa CCM, eti wakasingizia kwamba watu wanaagiza magari chakavu ndiyo maana wakaweka kodi kubwa!
Si nyie wenyewe ndio mnaongoza kuimba mapambio? Ma-CCM ni mashetani!Hahahaha mawazo ya kimaskini hayo kama gari itanunua jaoan kwa $1,800 hadi kuipata ikawa milion 6 wengi watamudu ila sio wote hata makusanyo ya kodi yataongezeka
Watawala wanaona gari za 1995-2001 ni chakavu wakati ni imara na itadumu hivyo kupunguza garama kwa mwananchi, gari ya 2010+ ni mayai sana na ni gharama sana kuihudumiaHili hata mimi silielewi.
Ingekuwa rahisi kuimport gari watu wangeacha kutumia magari yaliyochakaa. Yangekuwa yanaluwa scraped wao wananunua mapya.
Gari ya kununua gari hasa used car ni ndogo sana kuliko kodi ya tra. Hawa watu hawataki tumiliki magari au ukimiliki moja ushindwe kureplace lingine!!!! Kodi kubwa sana!!!!Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kodi kubwa kiasi cha kufanya wengi kushindwa ama kuagiza magari toka nje au kushindwa kuyakomboa bandarini. Kwa nini serekali isiweke mfumo rahisi wa kulipia mapato ya kuagiza gari toka nje na iwe rahisi kama kodi ya kuagiza simu au nguo?? Najua ni rahisi ila sijui kwa nini wamefanya vile.
Ipo CALCULATOR ya TRA lakini kuitumia kwa mtu asiye mzoefu inakuingiza majanga ya kushindwa Kulipia gari bandarini. Napendekeza iwe hivi.
Magari yaliyotengenezwa mwaka flan hadi flan kodi yake iwe kwenye % let say 2000 kurudi nyuma =50%
2001-2009=35%
2010-2019=20%
Garama nyingine ziwe kwenye mfumo wa % ili iwe rahisi kwa mwananchi kujikadiria garama halisi kabla ya gari kufika bandarini.
Unaweza kupunguza garama za kuagiza gari kwa 25% ikapelekea mapato kuongezeka kwa 150% ambayo yatatokana na umunuzi wa mafuta, Ajira, leseni, vipuri, vibali mbalimbali, kuimarika kwa usafiri hasa vijijini,
Kuwe na utaratibu wa mwananchi kulipia garama zote na gari kabla ya kufika bandarini. ikifika bandarini unaichukua tuu. Hii itaepusha kubambikiwa garama zisizoeleweka. Ukishalipia garama zote gari ikafika bandarini garama nyingine zitazokuja baadae hazikuhusu labda kama ulidanganya taarifa halisi za gari.
Wigo wa msamaha wa kodi uingezwe kidogo hadi kwenye magari ya usafirishaji kama Canter, Fuso na Pikup. Hizi ziwe zinafanya kazi maeneo ya vijijini na mikoani katika kusaidia kusafirisha mizigo na mazao ya wakulima na kuinua kilimo na uchumi wa vijijini. Hapa tunaweza kuweka kuweka mfumo gari hizi kupewa special namba na kupakwa rangi maalumu na zipewe maeneo maalumu ya kufanya kazi hasa vijijini na mashambani. Hii itainua kidogo na kupunguza adha ya usafurishaji wa mazao.
Nawasilisha
Kabisa mkuu!!!!Hili hata mimi silielewi.
Ingekuwa rahisi kuimport gari watu wangeacha kutumia magari yaliyochakaa. Yangekuwa yanaluwa scraped wao wananunua mapya.
Ufundi tu ni tatizo ila hata hizo zinaweza kuwa reliable.Watawala wanaona gari za 1995-2001 ni chakavu wakati ni imara na itadumu hivyo kupunguza garama kwa mwananchi, gari ya 2010+ ni mayai sana na ni gharama sana kuihudumia
Mkuu gari za 2000 ni mbovu sana. Nilikuwa na toyota pickup ya 1993 nilikaa nayo sana over 10 years. Nikanunua ya 1998 nayo nilikaa nayo haikunisumbua. Niliiuza after three years baada ya kuwa na shida ya pesa. Sasa hivi inaya 2002 aisee inanisumbua balaa. Nacompare na hizo za 1990s hazikuwawi kunisumbua hivyo. Clutch inakufa mara kwa mara, mara control box mara hiki!!!! Natamani kununua lingine ila sina pesa sina inabidi nilivumilie tu.Watawala wanaona gari za 1995-2001 ni chakavu wakati ni imara na itadumu hivyo kupunguza garama kwa mwananchi, gari ya 2010+ ni mayai sana na ni gharama sana kuihudumia
Nyumba ni ghari kuliko gari halafu ukiwa na nyumba wakuone wa kawaida kwa mfano thamani ya gari yangu ni mara tano ya nyumba yangu na chenji inabaki #kununua gari ni rahisi kuliko kujenga nasema kujenga sio kuharibu mazingira [emoji23] [emoji23]Surw mkuu hata kazini ukimiliki gari tu hata kama huna nyumba wanaona una maisha bora sana na wanaweza kwenda mbali sana kusema fisadi ... Wakisikia una nyumba wanakuona kawaida tuu
Ufundi tu ni tatizo ila hata hizo zinaweza kuwa reliable.
Nadhani wanapush magari mapya kwa ajili ya emmissions control. Mazingira yaani. Recent cars zina complexity kubwa ili tu kupunguza sumu zitokazo kwenye exhaust