Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

CES

Member
May 12, 2021
32
24
Habari wana JF,

Ninatumai habari njema.

Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa

Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona nzuri, labda tutapata wazo ya kuendelea nchi zenu bora.

Ningetaka kujua shauri yenu.

First choice

1672__FileBig__TOoByabVxcmhbCDVMnbO.jpg
 
Njoo mkuu tukae wote. Ndio mageto yangu hayo. Una familia au uko single?
 
Hizo nyumba hujengwa kwa kufuata master plan, ambapo mchoro unapitishwa na mamlaka za miji kiasi kwamba unapangiwa idadi ya vyumba, uelekeo wa kila chumba, rangi, ukubwa wa backyard, sewage system iweje na mambo kibao...

Sasa njoo kwetu...
 
Panavutia. Tatizo mazingira ya kufanana na hayo unakuta kiwanja bei sana.
Sio lazima.
Mnaweza kununua kiwanja na watu wengine, mnafanya jamaa, mnaunda kampuny, kila mtu anajenga kufuata planning mtafanya pamoja.
 
Hizo nyumba hujengwa kwa kufuata master plan, ambapo mchoro unapitishwa na mamlaka za miji kiasi kwamba unapangiwa idadi ya vyumba, uelekeo wa kila chumba, rangi, ukubwa aa backyard, sewage system iweje na mambo kibao...
Kweli. Tungefanya hyvio, mambo yangeenda bora zaidi
 
Nimeshasikia kuhusu mto huyo. Si filamu ya vita ? "The bridge on the river Kwai". Picha hizi zinapendeza sana. Lakini ni kwa ajili ya hoteli na entertainment. Sasa shughuli zetu zingekuwa kufanya kwamba watu wa kawaida wanaishi kwenye mitaa safi, salama na nzuri sambamba na bei bora kwa sababu mpaka sasa hamna moja ameleta majibu kwenye swala hilo
Miaka ya nyuma nilikwenda kutembea Thailand
Kuna Mto Kwai na kuna nyumba zinaelea hapo ndio natamani au sehemu kama hiyo pembezoni mwa Mto

View attachment 1866228
View attachment 1866229
 
Habari wana JF,

Ninatumai habari njema.

Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa

Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona nzuri, labda tutapata wazo ya kuendelea nchi zenu bora.

Ningetaka kujua shauri yenu.

First choice

View attachment 1862341
Njoo Puna Yale Yale Kigamboni.Siku Nyangasa na Ndugulile wakifosi mwendokasi toka Kivukoni Mpaka Buyuni atakuwa kaacha legacy yake.
 
Njoo Puna Yale Yale Kigamboni.Siku Nyangasa na Ndugulile wakifosi mwendokasi toka Kivukoni Mpaka Buyuni atakuwa kaacha legacy yake.

Nimesikia kuhusu mrade ule. Hali ni vipi ? Hamna tatizo lolote ? Una picha ? Tovuti ? Hamna mafuriko ? Huduma ya umeme na madi , inapitia huko ?
 
Nimesikia kuhusu mrade ule. Hali ni vipi ? Hamna tatizo lolote ? Una picha ? Tovuti ? Hamna mafuriko ? Huduma ya umeme na madi , inapitia huko ?
Mkuu Mimi Nina site huko ingawa sihishi huko.Toka mwaka Jana mwezi wa sita ndio nimeenda Juzi.Lile eneo limepimwa ingawa spidi ya ujenzi sio kubwa umeme upo maji nimeona waliojenga wamechimba visima vyao na maji ni ya baridi.Kuhusu mradi sijajua humu kuna jamaa waliwahi zungumzia humu watakupa majibu.Kumetulia Sana hali ya hewa swafu kabisa.Ingawa ni mbali toka Kivukoni ila ukiwa na private car umekula bingo na wengi ndio usafiri wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom