MsalitiAje asaliti tena na MIGA zake atakiona cha moto.
Dawa ya msaliti inajulikana tangu enzi na enzi
Hivi maana ya neno msaliti kwa Tanzania ni nini?
MsalitiAje asaliti tena na MIGA zake atakiona cha moto.
Dawa ya msaliti inajulikana tangu enzi na enzi
Hana hata faida ila maajabu ujio wake utawekewa mizengwe hadi tuhoji faida yake kuwa nn haswaKwani huyo Lissu ana faida gani kwa nchi hii hata akija?
Ni kweli. Ni miongoni mwa Wasaliti Nguli wa Taifa Letu Mama Tanzania.Anarudi akiwa amejaa aibu tele
Subiri utaonaAtapokelewa na wanamtandao huku mtandaoni... nani apoteze muda wake kwenda kumpokea msaliti wa nchi.
Kwa hiyo unakili kuwa aliyempiga rsasi nijiwe...Aje asaliti tena na MIGA zake atakiona cha moto.
Dawa ya msaliti inajulikana tangu enzi na enzi
Jamani msiandike habari za kurudi Tundu Lissu maana jinsi yule bwana aliyempiga risasi akisikia anaharisha mfululizo!subirini kuwekewa tukio mbadala mpaka watu wasijue ujio huo.
aje tuElewa tu hata tiketi ameshakata.
OoonyoLissu The Greatest
Kukamatwa kwa ndege yetu huko Canada!Kipi amekisaliti?
Kitaje.
Kuna kauli aliyoitoa kwamba ndege ikamatwe au ni kwa ujuha wenu tu?Kukamatwa kwa ndege yetu huko Canada!
Na wanaweza kumshitaki kwa jaribio la kutaka kujiua kwa kujipiga risasi 38!!!?Kama nawaona wazee wanavyomtamani,yani akitua tu wanae
😂😂😂😂Na wanaweza kumshitaki kwa jaribio la kutaka kujiua kwa kujipiga risasi 38!!!?
Hivi wale wazalendo maigizo wameliletea faida gani taifa letu kwenye ile movie yao ya makinikia?Karibu nyumbani Mwanasheria
Mungu akupe Afya njema na uzalendo kwa Taifa lako
bora aje apambane na kesi zake na amlete na mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulio lake ambaye ni dreva wake kwahiyo watawakuta wahusika wanawasubiri airport ilikuwapeleka kutoa maelezo
Atapokelewa na wanamtandao huku mtandaoni... nani apoteze muda wake kwenda kumpokea msaliti wa nchi.
Hata Mungu alishasema msaliti adhabu yake ni moja tu kiongozi....!!Roho inakuuma kwa kuwa lengo lako la kumuua halikutumia.Sikiliza ndugu inawezekana ukafa kabla LISSU,MUNGU Ni wetu sote!