Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,606
- 128,449
Ingekuwa na faida zaidi angerudi kipindi kile kuwatumikia wananchi wake walipokuwa wanamuhitaji ilihali sasa anarudi kama mzigo!
Sio wakati ule, mpaka sasa wananchi wake wanamkubali na wataendelea kumkubali, hata kama jiwe kwa kumtumia kibaraka wake nduguyai kutaka kumtenga na watu wake. Tuko wananchi kibao tunamkubali na ukitaka kuamini jiwe akosee kufanya uchaguzi huru, hataamini macho yake.