Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

sio kosa lako ni akili yako ya uzee inarudi utotoni na ndiyo maana umestaafu kazi.....taarifa ndiyo hiyo atapokelewa na ndugu zake na mkono wa sheria utakuwa dhidi yake.
Nakuombea kwa Mungu wa kweli usifikishe umri wa kustaafu uishie njiani kama kustaafu ni laana. Basi wewe utaishia 30 yrs UFE ili uepuke laana ya kustaafu!
 
Kuna taarifa zinasambazwa kuwa kuna maandalizi makubwa yanaandaliwa kwa ajili ya kumpokea Ndugu Tundu Lissu siku ambayo atarudi nchini ambayo inasemekana ni tarehe 7 September 2019 kupitia uwanja wa kimataifa wa Mwl Nyerere terminal III.

Kwa taarifa yako tu mtanzania mwenzangu Ndugu huyo Tundu Lissu atapokolewa na familia yake na ndugu zake zaidi sana viongozi wa chama chake tena wachache tu na wala usijisumbue kabisa kujiandaa kumpokea kama inavyosemwa na wanaharakati kuwa kutakuwa na msafara wa kumpokea eti shujaa wao.

Ndugu Tundu Lissu hajulikani alipo na mwajiri wake ambaye ameshamfuta kazi na pia alimficha dereva wake mpaka leo hivyo ajiandae tu kukabiliana na mkono wa sheria mara atakapowasili.

Kazi kwako mtanzania uchaguzi ni wako kusuka au kunyoa.
Unamdhalilishaga sana huyo mwanajeshi kwenye avatar yako, siku akirudi akakamatwa ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Magufuli kwa sababu atauthibitishia umma wa Tanzania na Dunia kuwa yeye ni katili
.
Mark my word alafu pia weka avatar nyingine toa hiyo
 
Ninaomba pia ikiwezekana kila mkoa wilaya na vijiji watu wahamasishwe kufanya jambo hata kama ni kuandika ijana la LISU kwenye karatasi, na kuishila, kuvaa fulana za kumpongeza n.k
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
wakupimwa wewe sio mzima sehem flani ya kiungo chako muhimu. MUMEO ANAPATA TABU KWA UGONJWA ULIOKUPATA. na wala sikupi pole umejitakia
 
bashite ni hilo tundu lenu lililoko ubelgiji linajivujia tu
NA HILI JIWE LENU JE.. LITAKAA SAWA LINI?
1564728322387.png
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
Unaumia roho kuona yuko hai!
 
kwani hamtakuwa na kazui za kufanya mpaka mkampokee huyo mtalii kwani alikuwa anaumwa si alienda kutukana ulaya?
Kazi zipi za kufanya ila kwa kumpokea Lissu tutaahirisha majukumu mengine yote!!!
 
Naona ule ugonjwa wako unazidi kuwa serious.

Eti Mfalme... Mfalme Myfoot
 
Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijanahe tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.


KARIBU MFALME LISSU.
Mashetani wa kijani kibichi ccm a.k.a . wasiojulikana wanaumia kweli kusikia hizi taarifa ,hiv i sasa hawalali wanapanga hujuma ..
 
Siasa isikufanye upoteze utu wako!!! Ni mawazo yangu tu.


Maneno haya mwambie TL, kwanza yeye ni mwanasiasi, pili ni mwanasiasa wa kwanza Tanzania kusikia akituhumiwa kutafuta mbeleko ya kisiasa kwa kukutana na kiongozi wa mashoga ulimwengu. Dhahiri tamaa za kisiasa zimemtolea heshima na utu wake katika jamii.
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
Ushakufa wewe unangojea kuzikwa tu
 
Back
Top Bottom