Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

"Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza, Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700, fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100, ambapo asilimia 15 fedha taslimu na 85% tumekopa , na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu" - JPM #UzinduziTerminal3
 
Zidumu fikra za mwenyekiti!
 
Ni mtu mmoja kaongea hayo yote au ni watu wawili tofauti???

Stress ukichanganya na dhulma inakuwa mbaya sana dah😅😅😅
 
Watanzania wengi sana wanasubiri kwa hamu kubwa kumpokea Tundu Lissu. Nimeusikiliza huu wimbo wa Nyashinski unaoitwa 'Mungu Pekee' na nadhani unafaa sana kuwa wimbo wa mapokezi.

Kwa nini nimeupendekeza wimbo huu:
  • Wimbo unafit story ya Lissu kama gloves.
  • Wimbo unamtukuza Mungu. Wote tunajua Lissu amepona ili Mwenyezi Mungu apate kutukuzwa. Sidhani kama itakuwa vyema kumpokea Lissu huku tukiimba Singeli.
  • Wimbo unachangamsha na haujazubaa. Nadhani huu wimbo utatupandisha mzuka sana hasa vijana.
Tundu Lissu karibu sana nyumbani. Watanzania tunasubiri kusikia ushuhuda wako.
 
Shusha huo wimbo hapa tuusikilize
Karibu Lissu nyumbani,waliokupiga risasi angali wakipumua.
Mungu ashukuriwe kwa kumponya Lissu.
Tunarudisha laana kwa wote walioshiriki kwa nafasi zao kudhulumu maisha ya TL
 
Sijui jinsi ya kuweka audio ila audio link ya youtube hii hapa.

"Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza, Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700, fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100, ambapo asilimia 15 fedha taslimu na 85% tumekopa , na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu" - JPM #UzinduziTerminal3
Rais Magufuli...
  • Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza,
  • Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700,
  • Fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100%,
  • Ambapo asilimia 15% fedha taslimu na 85% tumekopa ,
  • Na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu
Masikini Tanzania, bila shaka hata ndege tulizinunua kwa taratibu hizi hizi...! Kumbe ndio maana deni linazidi kupaa na nyongeza ya mishahara imekwama!
 
Eti walipanga akifa mwili wake uwaishwe kwao Singida kwa mazishi na kusiwe na shughuli yoyote Bungeni wala nyumbani kwake Dar-es-Salaam!!!!

Na angekufa wangekuwa wa kwanza kutuma salama za rambirambi kwa Spika, familia,ndugu,jamaa na wananchi wa Jimbo lake!!

Hakika huu ni unafiki na ushetani wa kiwango cha juu kabisa!!!
 
Kuna taarifa zinasambazwa kuwa kuna maandalizi makubwa yanaandaliwa kwa ajili ya kumpokea Ndugu Tundu Lissu siku ambayo atarudi nchini ambayo inasemekana ni tarehe 7 September 2019 kupitia uwanja wa kimataifa wa Mwl Nyerere terminal III.

Kwa taarifa yako tu mtanzania mwenzangu Ndugu huyo Tundu Lissu atapokolewa na familia yake na ndugu zake zaidi sana viongozi wa chama chake tena wachache tu na wala usijisumbue kabisa kujiandaa kumpokea kama inavyosemwa na wanaharakati kuwa kutakuwa na msafara wa kumpokea eti shujaa wao.

Ndugu Tundu Lissu hajulikani alipo na mwajiri wake ambaye ameshamfuta kazi na pia alimficha dereva wake mpaka leo hivyo ajiandae tu kukabiliana na mkono wa sheria mara atakapowasili.

Kazi kwako mtanzania uchaguzi ni wako kusuka au kunyoa.
 
Ulaaniwe na uzao wako! Hata huruma huna, ulaaniwe na uzao wako milelel
 
mmeandaa zile bunduki za kukata kona ??
 
Ulaaniwe na uzao wako! Hata huruma huna, ulaaniwe na uzao wako milelel
sio kosa lako ni akili yako ya uzee inarudi utotoni na ndiyo maana umestaafu kazi.....taarifa ndiyo hiyo atapokelewa na ndugu zake na mkono wa sheria utakuwa dhidi yake.
 
Ulaaniwe nasema na wazazi, watoto na uzao wako wote!
 
Kuna taarifa zinasambazwa kuwa kuna maandalizi makubwa yanaandaliwa kwa ajili ya kumpokea Ndugu Tundu Lissu siku ambayo atarudi nchini ambayo inasemekana ni tarehe 7 September 2019 kupitia uwanja wa kimataifa wa Mwl Nyerere terminal III.

Kwa taarifa yako tu mtanzania mwenzangu Ndugu huyo Tundu Lissu atapokolewa na familia yake na ndugu zake zaidi sana viongozi wa chama chake tena wachache tu na wala usijisumbue kabisa kujiandaa kumpokea kama inavyosemwa na wanaharakati kuwa kutakuwa na msafara wa kumpokea eti shujaa wao.

Ndugu Tundu Lissu hajulikani alipo na mwajiri wake ambaye ameshamfuta kazi na pia alimficha dereva wake mpaka leo hivyo ajiandae tu kukabiliana na mkono wa sheria mara atakapowasili.

Kazi kwako mtanzania uchaguzi ni wako kusuka au kunyoa.
Mseng*
 
kwani hamtakuwa na kazui za kufanya mpaka mkampokee huyo mtalii kwani alikuwa anaumwa si alienda kutukana ulaya?
Hakika,Mungu akusaidie. Hata km una roho ya kikatili kiasi gani,huez sema Lissu alienda kutalii. Kumbuka Mungu yupo,na ni Mungu wetu sote. Siasa zisikutoe ufahamu.
 
Back
Top Bottom