Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

bora aje apambane na kesi zake na amlete na mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulio lake ambaye ni dreva wake kwahiyo watawakuta wahusika wanawasubiri airport ilikuwapeleka kutoa maelezo
 
Hapa tuko bize tunaandaa hati ya kufuta dhamana
bora aje apambane na kesi zake na amlete na mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulio lake ambaye ni dreva wake kwahiyo watawakuta wahusika wanawasubiri airport ilikuwapeleka kutoa maelezo
 
Atapokelewa na wanamtandao huku mtandaoni... nani apoteze muda wake kwenda kumpokea msaliti wa nchi.

Roho inakuuma kwa kuwa lengo lako la kumuua halikutumia.Sikiliza ndugu inawezekana ukafa kabla LISSU,MUNGU Ni wetu sote!
 
Mungu ni Mkuu mno, maana yeye si Mhutu wala si Yohana...

Mungu hawezi kuhongwa Kasuku wala vipande vya dhahabu wala tenda za Ujenzi wa Barabara na Madaraja...

Mungu wetu ni mwaminifu mno hawezi kugombea fedha za miradi ya EU hata atoe uhai wa baba wa familia maskini tu..

I mean Tundu Lissu leo unatembea bila magongo kaka, peke yako? Na hujapoteza tabasamu lako?

Kweli Mungu wetu ni Mkuu mno, hajapata kushindana na Nebukadneza, wala Miungu wa Baali, wala Miungu wa Kihutu akashindwa..

Wakati kama huu Kaka walitaka tuwe tumekusahau kama ambavyo wametaka tuwasahau Alphonce Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda, binti asiye na hatia Akwilina, na maelfu wengine...lakini Mungu akakuponya na mauti..

Leo unatembea mwenyewe na tabasamu usoni Kaka Mkubwa? nasema they have to keep wetting their pants with fear of your presence and divine retribution!

GAME ON!
 

Attachments

  • VID-20190801-WA0027.mp4
    2 MB
52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom