Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,137
2,000
Atapokelewa na wanamtandao huku mtandaoni... nani apoteze muda wake kwenda kumpokea msaliti wa nchi.
Na kuconfirm hili,intelijensia iwe kimyaaa,maana wakijaribu tu kuhangaika nae watadroo atension ya watu kumpokea. Mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoa wa Dar abaki kimya ili watu hata wasihangaike na ujio huu.
Kweli kabisa janaa hata hajulikani kwa sasa,kaishaaa kamalizwa na kasi ya namba moja!
 
WIGWA

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
883
1,000
bora aje apambane na kesi zake na amlete na mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulio lake ambaye ni dreva wake kwahiyo watawakuta wahusika wanawasubiri airport ilikuwapeleka kutoa maelezo
 
Ndugu wa Trump

JF-Expert Member
Nov 9, 2016
960
1,000
Hapa tuko bize tunaandaa hati ya kufuta dhamana
bora aje apambane na kesi zake na amlete na mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulio lake ambaye ni dreva wake kwahiyo watawakuta wahusika wanawasubiri airport ilikuwapeleka kutoa maelezo
 
Samvurah

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
387
250
Atapokelewa na wanamtandao huku mtandaoni... nani apoteze muda wake kwenda kumpokea msaliti wa nchi.

Roho inakuuma kwa kuwa lengo lako la kumuua halikutumia.Sikiliza ndugu inawezekana ukafa kabla LISSU,MUNGU Ni wetu sote!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom