Ushawishi wa kuteka, kupiga risasi, kuua na kuweka miili ya raia wenye maoni kinzani kwenye viroba au ule wa kununua wapinzani? Kilangila.Eti hakuna mwenye ushawishi zaid ya Lissu
Rais ndio mwenye ushawish zaid

Naunga mkono hoja, tena napenda kuongezeapo kidogo tu ili kunogesha mapokezi ya "MFALUME TINDIKALI SULI"Hi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Rais Magufuli Mungu akipenda atakaa miaka 10 kama watz walivyoamua awe Rais wao kwa makubwa anayowatendea kila kukichaUnamdhalilishaga sana huyo mwanajeshi kwenye avatar yako, siku akirudi akakamatwa ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Magufuli kwa sababu atauthibitishia umma wa Tanzania na Dunia kuwa yeye ni katili
.
Mark my word alafu pia weka avatar nyingine toa hiyo
Mbona mimi ni mTanzania na simtaki hao watz walioamua tayari ni wawapi?Rais Magufuli Mungu akipenda atakaa miaka 10 kama watz walivyoamua awe Rais wao kwa makubwa anayowatendea kila kukicha
angalia mikutano yake utajua watanzania wanaomkubaliMbona mimi ni mTanzania na simtaki hao watz walioamua tayari ni wawapi?
Kwanini kazuia mikutano ya wanasiasa wa upinzani ili tupime upepo nani anakubalika na Watanzania wengi?angalia mikutano yake utajua watanzania wanaomkubali
jitaje mwenyeweHi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Umewahi kuliona Taifa gani kampeni za uchaguzi hazina ratiba.Kwanini kazuia mikutano ya wanasiasa wa upinzani ili tupime upepo nani anakubalika na Watanzania wengi?
.
Kwa sababu sasa hivi huwezi kusema Magufuli anajaza kwenye mikutano ambayo kimsingi si ya siasa ni ya kiserikali kuwa eti anakubalika na hao watz mambute wameshampa urais wakati wengine kawazuia yani ni sawa na darasani mtihani anafanya peke yake unategemea wa kwanza atakuwa nani wakati hana washindani?
.
Hiyo avatar toa unaidhalilisha mno
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
NonsenseHi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Umewahi kuliona Taifa gani kampeni za uchaguzi hazina ratiba.
Lazima utakuwa hata Kenya haujafika.
Raisi mtarajiwa jiwe kabisha mwaka1 tu ang`okewewe na Lisu wote ni washenzi tu,atapokelewa kama parcel tu hapa nchini,saliti hilo
Iko vizuri hiyo karibu sana nyumbani kamanda lisuHi Guys
I hope mko poa,,, Right,,??
Okay, Good.
Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.
Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.
Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.
Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,
👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.
👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,
👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.
👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.
👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.
KARIBU MFALME LISSU.
Madaraka wamepewa washambaRais Magufuli...
Masikini Tanzania, bila shaka hata ndege tulizinunua kwa taratibu hizi hizi...! Kumbe ndio maana deni linazidi kupaa na nyongeza ya mishahara imekwama!
- Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza,
- Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700,
- Fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100%,
- Ambapo asilimia 15% fedha taslimu na 85% tumekopa ,
- Na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu
Jamaa ni muongo hasiye na kumbukumbu.Ni mtu mmoja kaongea hayo yote au ni watu wawili tofauti???
Stress ukichanganya na dhulma inakuwa mbaya sana dah[emoji28][emoji28][emoji28]
Watachakaa shauri yao.Mtapigwa mabomuuu mpaka mpoteane
Sijakuelewa, suala la ratiba za uchaguzi mbona mimi sijalizungumzia kokote ulikuwa umevuta bange wakati unaninukuu?Umewahi kuliona Taifa gani kampeni za uchaguzi hazina ratiba.
Lazima utakuwa hata Kenya haujafika.