Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Sipati picha siku anarejea kwani vyombo vya dola vitatumika kufanyia watu ukatili ili kuhakikisha hapati mapokezi yenye kuvuta hisia, kwani wanaamini mwenye ruhusa ya kuvutia watu ni jiwe tu.
Ingekuwa na faida zaidi angerudi kipindi kile kuwatumikia wananchi wake walipokuwa wanamuhitaji ilihali sasa anarudi kama mzigo!
 
Karibu nyumbani Mwanasheria

Mungu akupe Afya njema na uzalendo kwa Taifa lako
Danganyaneni watu wanataka kula hell kwa kisingizio Cha mapokezi ya mtu ambaye haji.Kaomba ukimbizi.Watu mtapigwa pesa kwa kuuziwa T-shirt vitenge nk kea ujio hewa wa mtu. Kila mtu achunge mfuko wake
 
subirini kuwekewa tukio mbadala mpaka watu wasijue ujio huo.
 
Karibu nyumbani kumenoga.
IMG-20190528-WA0000.jpeg
 
Back
Top Bottom