Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Ningependa Tundu Lissu apokelewe hivi

Dada bado unaendelea na hii tabia..ebu acha ukamrudia Mungu

Yako mambo yanayo fanywa na viongozi wa cdm taifa haya ingia akilini. TL kukutanda na kufanya kikao na rais/kiongozi mkuu wa mashoga haiwa shida akilini mwao? Wanao hii ilikuwa sawa? Kwa nini wamekaa kimya mpaka sasa bila kukemea hii tabia? Wanataka wakipita huku mtaani na zile T.shirt zao za rangirangi nyingi kama bendera ya mashoga wananchi wenzao wawatazameje ba kufikiria wanatangaza nini?
 
Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.

KARIBU MFALME LISSU.
Lissu ni sawa na Mtaki aliyemsaliti Mkwawa kwa Wajerumani akidanganywa atapewa atawale himaya ya Wahehe! Lakini wajerumani walipomuua Mkwawa msaliti Mtaki hakupewa utemi. Ni sawa na Lissu anategemea mabeberu watamuwezesha kuwa Rais wa Tanzania.
 
yaani watanzania baadhi mnaakili za kule kwenye chakula cha inzi maana mnafikiria vitu vinavyotoa harufu mbaya akili zenu zingekuwa kichwani msingefikiria mambo ya kipuuzi kama kumpokea msaliti wa nchi tobo lissu wa nini siangebaki tu huko na ujinga wake acheni umburura huo fanyeni kazi
Alisalitije nchi? Walipovuruga mfumo wa elimu ndipo walipowaweza!
 
Kwanza umemvunjia heshima kumuita mfalme, ufalme ni udikteta. Pili Lissu is not the best lawyer, bali anajua kuitumia sheria kwa kusoa makosa ya kijinga yanayofanywa na watu wa chama changu.

Enzi za Mkapa na Kikwete hakuwa na fursa nyingi za kukosoa kama zama hii ya awamu ya Tano, na sababu kubwa ni hawa vijana na washauri wasiokuwa na uweledi na kutoheshimu sheria na katiba

Ha aha haaa inakuuma kumita LISSU the best lawyer..,WHO IS THE BEST LAWYER IN TANZANIA? Prof .Kabudi mwenyewe ana solute kwa LISSU ,
 
Hi Guys

I hope mko poa,,, Right,,??

Okay, Good.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Nchi hii hakuna mtu mwenye ushawishi kisiasa zaidi ya lissu,Naweza kumwita ndo mfalme wa sheria na siasa kwenye ukanda huu,Japo najua huu ni ukweli mchungu kwa CCM,Ukatae,ukubali ila huo ndo ukweli.

Lissu Toka apatwe na majanga Yale ya kupigwa risasi naweza kusema jina lake limezidi kuwa kubwa,Naweza kusema ukichukua viongoz wale wa juu wa CCM watano ukiwajumlisha kwa pamoja ndo unaweza kupata nusu ya Lissu,Namlinganisha Lissu na viongoz wa CCM siyo kwa ubaya Bali ni Kutokana na Chama cha Lissu (CDM) kuwa ndo chama kikuu cha upinzan cha CCM so kulinganisha siyo mbaya.

Nimesikia kuwa Lissu Muda si mlefu anarudi na tiketi kasha kata,Mimi kama Mtanzania niliye paza sauti na watanzania wengi kipindi amekutwa na majanga yale ,Nimeona Huyu mfalme anastahili kupokelewa kishujaa,Tena ikiwezekana CHADEMA wawatangazie na kuwaandaa watz vitu vya kutayarisha.

Haya ni mambo Makuu viongozi wa CHADEMA wanapaswa kufanya siku ya kumpokea Mfalme Lissu,

👉Wawatangazie Watazania Ni aina gani ya suti tutavaa,Hii ni kwa wanawake na wanaume wote.

👉Atafika siku,Tarehe na Muda gani,

👉Kama uongozi wa CDM hamna gari la kifahari la kumpokelea Lissu pale Airport mtuambie mapema
watz tuko tayari kuchangia Hata la kukodi.

👉Muombe kibali mapema serikalini cha kumpokea Lissu mana itakuwa zaidi ya mafuriko.

👉Gari la kumpokea mfalme Lissu pale Airport lisiwekewe Hata tone la mafuta mana vijana tuko tayari kulisukuma kuelekea popote Lissu atakapo kuwa ana elekea.

KARIBU MFALME LISSU.

Nina mtizamo tofauti kabisa na huu wako ambapo Mimi namtaka Mheshimiwa Tundu Lissu atafakari kwa Umakini mkubwa sana Ujio ( Urejeo ) wake nchini Tanzania na kama ningeamibiwa nimshauri basi jibu langu Kwake lilikuwa ni jepesi mno kwamba asirudi kwa sasa au ikiwezekana asirudi tena labda mpaka mwaka 2026 ila kwa mwaka 2019 hadi 2025 Kwake si salama na Moyo wangu una wasiwasi mkubwa juu ya Maamuzi yake haya ya kurejea.
 
Tundu Lisu kumlinganisha na mtu yeyote ndani ya CCM ni makosa makubwa.

Tundu Lisu ni mtu pekee aliyepigania haki Tangu awamu ya Tatu.
Wakati wote huo CCM walikua wanamuona kuwa ni adui na msaliti.
Amepiga kelele kwa miaka yote akionyesha udhaifu wa sheria zetu na Katiba zinazowafanya watawala wabuni mbinu nyingi za kutuibia huku wakipigiwa makofi na vigelegele.

Lisu amekua anachukizwa sana na matumizi mabaya ya mafaraka kuanzia ndani ya vyombo vya dola mpaka Bungeni.

Hakuna mtu kama Lisu ndani ya CCM hata nje ya CCM.
Tundu Lisu ameweza kumbebe Mbuzi katikati ya Tundu La Simba, bila kuogopa kuraruliwa , na hatimaye kuondoka na mbuzi japo akiwa na majeraha.

Leo hii akitokea Mkuu wa Nchi wa Chama Cha upinzani na pakawa na katiba inayoruhusu kila mtu kushitakiwa Basi CCM wote wataishia gerezani kwa haki kabisa na kwa makosa yao ya wazi kabisa.
Lakini hali ni Tofauti kwa Lisu. Bila uonevu hakuna kosa linaloweza kumkabili Lisu mpaka sasa.
Ndio maana wanaharakati wa misibani waliamua kumsaka na kumpiga risasi. Mana walijua kuwa ni mtu safi asiye na kosa lolote.
Kwa CCM Thubutu kila mtu ana kashfa na anaogopa kwenda maakamani na wengine ndio hata kushitakiwa wamewekea kinga ili wasije wakatiwa hatiani na mlolongo wa walioko chini yao ukafuata mpaka Mjumbe wa Nyumba kumi wote wangeishia Gerezani kwa ama wizi, ubadhirifu,matumizi mabaya ya ofisi, ukiukwaji wa sheria, rushwa, mikataba ya hovyo ,udanganyifu,uonevu,kufoji au wizi wa vyeti vya elimu, mauaji ya albino,ukwepaji wa kodi, kuunda vilosi visivyojulikana n.k .n.k.
Hakuna CCM angebaki salama labda kwa Kuunda tume ya maridhiano ya kitaifa kama kule Afrika kusini kwa Makaburu baada ya Uhuru na Mandela kuwa Rais.

Tundu Lisu ni mtu wa Kiwango cha Nelson Mandela kwa Miongo hii.
Huyu ndiye atakayelijenga Taifa la Tanzania kutoka kwenye dhulma,uonevu na mgawanyiko mkubwa ulioasisiwa na CCM kwa Lengo la kupata madaraka na Mali.
Tanzania hatujawahi kuwa na makaburu kwa karne hii wabaya na wabaguzi kuliko CCM.

Bora makaburu waliotumia majeshi yao ya watu weupe kuwaonea na kuwakandamiza waafrika kwa Rangi zao lakini CCM wanatumia majeshi ya waafrika kuwakandamiza waafrika wenzao
Laana kubwa sana.

Hiyo ni kwa CCM .

Turudi kwa Chadema Mbowe.Chadema Mbowe ni Chadema ya kidikteta.
Hii ni kinyume kabisa na Lisu anayeamini katika utawala Bora na wa Kidemomrasia.
Hii ni Chadema Mbowe inaweza ikawa na hofu kubwa sana na Kurudi kwa Lisu kuliko hata wale viongozi wa CCM.
Wanaona kurudi kwa Lisu kunaweza kuwa ni mwanzo wa mabadiliko makubwa ndani ya Chama hicho kilichojaa vijana wasaliti na wasaka pesa.
Rejea : Nasari, Waitara, Diwani Mwakyembe kule Temeke na madiwani wengi.
 
1564208400460.png
 
Sipati picha siku anarejea kwani vyombo vya dola vitatumika kufanyia watu ukatili ili kuhakikisha hapati mapokezi yenye kuvuta hisia, kwani wanaamini mwenye ruhusa ya kuvutia watu ni jiwe tu.
 
Back
Top Bottom