siku zikihitajika tutatoa gee
ila leo tumeanzia hapo hope somo limeeleweka bana
kwani kuna shida gani kama watu wameharibu tunasema tu lhuyo sauda mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....
Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo
ahahaaa aya bwanatoa boriti kwako kabla hujataka kutoa kibanzi kwa mwenzio
kitendo tunachomtendea huyo bi harusi kwenye picha ya kwanza si chema hata kidogo. Kwa nini tunataka kuondoa happiness yake kwa mambo yasotuhusu?
Sauda mwilima vyake vinayeya, bwana harusi hakukimbia wala nini, usikute hao wanaojiona wanajua kujipamba hata wachumba hawana
duh..
masura kama wasaga......
kwani kuna shida gani kama watu wameharibu tunasema tu l
msisitizo ili invi atuwekee jukwaa la urembo
hakunaga urembo wa hivo bana....hakunaga
Huyo Sauda Mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....
Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo
Wote hao ni macelebrity wadogo wa Bongo..mmoja ana blog yake ..
hakunaga urembo wa hivo bana....hakunaga