Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
mwenzenu anajiona kapendeeza
uhuhuu babu iwe weka photo ya mama matesha siku ya wedding yakeduh midemu imekuwa na ngozi kama ya kitimoto. Haya ukikutana nayo usiku lazima ukojoe kitandani. Khaa!
invisible weka jukwaa la urembo
![]()
mmh halafu kazi yenu kusema u look nice baby .umependezaaa? loh ...acheni unafiki bwana
hadi sasa najiuliza hivi hao waliowapamba wooote waliona wamependeza? au alirembwa na vipofu?halafu wanawake tulivyokuwa wanafiki,pengine hapo atam hug bi harusi na kumwambia amependeza.kimoyo moyo anamcheka.wameonekana wazee kuliko umri wao
The worst make up in 2012, hivi hakujitazama kwenye kioo?
SHIT! wanawake wabaya ka wadudu, kwanza wameenda salon za elfu2 pili ni kawaida yao kujikoboa kiasi kwamba hapo wao wanaona ni kawaida. Mie mwanamke wa hivyo hapana nitakua na mtindi ubongo nikimpenda demu anaetumia mikorogo.