ningekuwa bwana harusi ningekimbia

Urembo wa hivyo upo na usikute ndo uliompatia mume

Sijaona hata cha ajabu kwenye uso wa Sauda Mwilima zaidi ya ule mkorogo wake wa kila siku
mmmh huna red eyes? ukipona utaona vizuri
 
mamaaaaaaaaa........yesu wangu!!!!!!!!!!!! mbona wanatisha hivyo!!!!! na hapo wametabasamu!!!!! duuuuuuuuuuu!!!!!!!! akiyanani!!!!!!!!!!!! mkorogo umedundaaaaaaaaaa!!!!!! sauda ni mbaya orijino tu!!!!
 
Ukiwa na blog tu basi wewe celebrity?

Dida wa G ni celebrity.

Ndiye mtema cheche wa Times FM katika kipindi cha Mitikisiko ya Pwani.

Katika hii episode ya Mkasi alikuwa kwenye hiatus lakini sasa kesharudi tena hewani.

Hakunaga kama Dida wa G. Mimi namkubali saaaaaaaaaaaaaaaaaana.

 
Last edited by a moderator:
dida wa g ni celebrity.

Ndiye mtema cheche wa times fm katika kipindi cha mitikisiko ya pwani.

Katika hii episode ya mkasi alikuwa kwenye hiatus lakini sasa kesharudi tena hewani.

Hakunaga kama dida wa g. Mimi namkubali saaaaaaaaaaaaaaaaaana.

unampenda lina au huyu ?
 
Last edited by a moderator:
invisible weka jukwaa la urembo
558551_431582093524567_100000183406917_1876487_173284373_n.jpg
daym ugly make up....
 
Huyo Sauda Mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....


Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo

.

Mwalimu, ... naunga mkono hoja!

Ndio maana pale juu nilipost no comment!

Yaani watu wanavyomshambulia huyo dada wa watu utafikiri sijui ni nini!

Mimi huyo dada simfaham personally zaidi tu ya kuona image yake kwenye TV .. teena nikiwa nimepotea njia kwa kuchelewa kubadilisha chanel ... so sina interests zozote katika comment zangu

Waanze basi watu huku wa JF wapost picha zao halisi alafu ndo tuanze ku-comment na zao kuhusu sijui beauty nini sijui & make-up na urembo!

Wengine humu unaweza ukakuta ni wabovu kabisa wameharibika kwa kujichubua ... bora hata ya hawa!

Alafu ... nyie wadada kwa nini huwa mnapenda kukandiana sana inapokuja suala la urembo & kujiremba?!

Postini picha zenu halisi hapa! .....

JF ... muwe wastaarab sometimes.

.
 
acheni kuwaharibia wengine siku, nyie mnaojifanya kujua kujipamba inawezekana ni wabovu kabisa kuliko hata hao mlioweka picha zao hapa.
 
Huyo Sauda Mwilima kumuweka hapa na kumdhihaki inaweza kuwa inakubalika kwa vile yeye ni public figure....


Mnalolifanya kwa huyo mwengine sivyo hata kidogo
Nimeisaka komenti kama hii kwa muda mrefu sana humu. Bahati mbaya hii ndo ya kwanza sredi nzima. Natafuta sababu bado sijaipata.

KIUKWELI HAMUWATENDEI HAKI KABISA HAWA WATU.

 
Hizi style za bwana harusi na bibi harusi kukutana kanisani zilisababisha jamaa amkatae mke mtarajiwa maana yeye alitarajia mkewe mweusi akaletewa mweupeeee! Jamaa akakataa huyo aloletewa! Kisa mkorogo!
 
Toa boriti kwako kabla hujataka kutoa kibanzi kwa mwenzio

Kitendo tunachomtendea huyo Bi Harusi kwenye picha ya kwanza si chema hata kidogo. Kwa nini tunataka kuondoa happiness yake kwa mambo yasotuhusu?

Sauda Mwilima vyake vinayeya, Bwana Harusi hakukimbia wala nini, usikute hao wanaojiona wanajua kujipamba hata wachumba hawana
Sielewi mods wanafurahishwa na huu mwenendo wa hii thread au vipi. Kuingilia faragha ya mtu si kitu chema hata kidogo. Wanachowafanyia hawa akina dada kwenye hii sredi si haki kabisa. Nashangazwa na baadhi ya "wanaume" nao kufuata mkumbo wa kuwaponda hawa akina dada.
 
duh....hivi tunahitaji kuongea na mkuu invii eeeh.....
hatuna jukwaa la urembo hapa.....

Chunguza wakina dada wengi na hizi make up sijui ni una mrembea nani katika dunia hii we ni mzuri tena wataka kuuongeza uzuri ili iweje kuna jina lingine tena zaidi ya mzuri jamani khaaaaaa

hizi make za a.k.a kichina kumbe ni kariakooo au tandale au Mabatini au kirumba au Nyakato, Kilombelo , Sokoni One,Ngalelo a.k.a Ngalim tedi, yaaani huko ndiko kwenye viwanda vya kichina china.

Sasa huyu dada aliiga ya maimatha wa Jesse. Salama mwite huyo dada(Sauda Mwilima) kwa Mikasi umuulize kulikoniiiii?


 
Wanasema: "Ukitaka kuthibitisha kama mwanamke ni mzuri kweli, umkute ameamka (asubuhi)"
 
Tukiwaambia sisi kama siku hizi baadhi yenu mazidishz hii mambo tunaitwa washamba..................m happy leo mmeanza kuona na nyie wenyewe

Kweli mtu eye shadow za silver mchana kweupeeeee......au kijani mbichi jamani kama mgomba banaaa.....huku liwig limeoverstay linatoa harufu kama nini halafu ndo wanapenda ku hug kila mkionana wooow......jitu limejichubua ila miguu vidole kama kenge......halafu ukigongana nalo macho hata hali blink yaaani limewasha full saa zote......aaaaarghhhh mtuonee huruma bana watoto wa wanawake wenzenu

Mkuu nimependa hiyo ya kuto-blink, hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom