Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Khaa makeups nyingine utafikiri rangi mchanganyiko za nyumba. wapambwaji nao wajiangalie kabla:heh: unakuwa kichekesho mbele za watu
Yaani hichi ni kituko cha mwaka, hiyo saloon ifuatiliwe ifungwe kabisa maana sio haki kumfanya mtu kituko kwenye speacial day namna hii