ningekuwa bwana harusi ningekimbia

ningekuwa bwana harusi ningekimbia

Madini Buzwagi yanaendelea kukwanguliwa kwa mbinu za kisasa ili ndani ya mda mfupi jamaa wachukue utajiri wetu Hawa nao waumiza sana vichwa jinsi ya kukwangua ngozi zao ili wawee weupe LINi tutatafika ?:yield:kwa akili hiii bila kuzingatia madhara ?jamani mimi uwa naumia sana na tabia hizi ,,,,,,,,,,,ni lini tutajitambua ?na kupigania mambo ya msingi ya kujenga nchi ?
 
invisible weka jukwaa la urembo
558551_431582093524567_100000183406917_1876487_173284373_n.jpg
Jamani sijawahi kuona bibi harusi anayetisha kama huyu uwiiiii hadi anatia huruma mdada wa watu.
Hivi kweli mim unifanye clown kama hivi halafu nakuangalia tu.
 
Lakini pia huenda walitumia make-ups za mchina bei powa ambazo baadaye zilikuja zikaumuka na joto. Kwa mfano hapa angalau mambo yalikuwa bado hayajaharibika kivile, na ndiyo maana bwana harusi alikuwa anachekelea.

PICHA+005.jpg
 
I see..so now circus clowns have a new look..very interesting!!
 
invisible weka jukwaa la urembo
558551_431582093524567_100000183406917_1876487_173284373_n.jpg

Pamoja na mkorogo lakini nadhani aliyepiga picha ndo kaharibu; mwanga ulikuwa mwingi hakutakiwa kutumia flash na pia kapiga picha kwa karibu mno. Otherwise, nakutakia kila la heri Sauda kwenye ndoa yako.
 
Too much of anything is never good.....Sauda kila la kheri katika ndoa yako ila punguza mkorogo maana umekoboka mpaka basi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom