ningekuwa bwana harusi ningekimbia

ningekuwa bwana harusi ningekimbia

Tukiwaambia sisi kama siku hizi baadhi yenu mazidishz hii mambo tunaitwa washamba..................m happy leo mmeanza kuona na nyie wenyewe

Kweli mtu eye shadow za silver mchana kweupeeeee......au kijani mbichi jamani kama mgomba banaaa.....huku liwig limeoverstay linatoa harufu kama nini halafu ndo wanapenda ku hug kila mkionana wooow......jitu limejichubua ila miguu vidole kama kenge......halafu ukigongana nalo macho hata hali blink yaaani limewasha full saa zote......aaaaarghhhh mtuonee huruma bana watoto wa wanawake wenzenu
 
mmh halafu kazi yenu kusema u look nice baby .umependezaaa? loh ...acheni unafiki bwana
 
Saida Mwilima alidanganywa kuwa mkorogo unampendeza. Kweli ving'aro vyote si dhahabu, najaribu kuifikiria harufu ya ngozi inayounguzwa na madawa.
 
Ngoja niende kwenye kibarua changu cha kuponda kokoto,maana nina hasira,jana aseno ilichezea kichapo!
 
Saida Mwilima alidanganywa kuwa mkorogo unampendeza. Kweli ving'aro vyote si dhahabu, najaribu kuifikiria harufu ya ngozi inayounguzwa na madawa.
dah jamani baadae mbavu zangu mie
 
hizo ni cream wanazotumia kujichubulia.....
make up ikipakwa kwa displine......inatulia......

Bado sijajua kwa nn wanawake hatujipendi yaani mpaka unafikia hatua ya kuharibu ngozi yako namna hii?
watu wangejua ukitupia Foundations za Mac ,Iman,Maybelline,Sleek nk mambo yanakuwa bomba
wao wanakimbilia mikorogo ya wakongo.
 
bado sijajua kwa nn wanawake hatujipendi yaani mpaka unafikia hatua ya kuharibu ngozi yako namna hii?
Watu wangejua ukitupia foundations za mac ,iman,maybelline,sleek nk mambo yanakuwa bomba
wao wanakimbilia mikorogo ya wakongo.
hivi walijiangalia kwenye kioo wakajiona wapo vizuri kabisa?
 
Bado sijajua kwa nn wanawake hatujipendi yaani mpaka unafikia hatua ya kuharibu ngozi yako namna hii?
watu wangejua ukitupia Foundations za Mac ,Iman,Maybelline,Sleek nk mambo yanakuwa bomba
wao wanakimbilia mikorogo ya wakongo.

my dear....tunahitaji jamii urembo.....ki ukweli....
tunaweza kubadilisha jambo katika jamii....
 
oooh my god urembo ukizidi sana unaharibika

Bibi harusi no mvuto
Bestlady no mvuto
Make up zimezidi...

Huyu aliyewapamba kina sauda mbona kawaharibu vya kutosha..
Ni wakati sasa wa mpambwaji kusema anataka nn:shock:
Aisee wamekuwa kama wana sesere? Bila shaka pamoja na kupakwa hiyo mnayoiita "make up' mikononi na miguuni pia wamechorwa ile michoro ya kiarabu (Hina) inayofanya baadhi ya kinamama waonekane kama Majini vile!!

Tukiwaambia sisi kama siku hizi baadhi yenu mazidishz hii mambo tunaitwa washamba..................m happy leo mmeanza kuona na nyie wenyewe

Kweli mtu eye shadow za silver mchana kweupeeeee......au kijani mbichi jamani kama mgomba banaaa.....huku liwig limeoverstay linatoa harufu kama nini halafu ndo wanapenda ku hug kila mkionana wooow......jitu limejichubua ila miguu vidole kama kenge......halafu ukigongana nalo macho hata hali blink yaaani limewasha full saa zote......aaaaarghhhh mtuonee huruma bana watoto wa wanawake wenzenu
Bado hujakutana amebandika na zile 'waipa' kama za magari machoni, akiblink blink macho lazima ukimbie, wengine wanaweza kope ndefu kama vidole.

Bado na nyusi imepigwa tatoo ya kudumu, akikutizama, au akicheka macho yanakuwa kama ya Tom wa kwenye 'Tom and Jerry'

kweli hili jambo liwekwe kwenye katiba mpya kabisa

Hili suala la muhimu sana, sitaki kupata konkasheni ya urembo
 
aisee wamekuwa kama wana sesere? Bila shaka pamoja na kupakwa hiyo mnayoiita "make up' mikononi na miguuni pia wamechorwa ile michoro ya kiarabu (hina) inayofanya baadhi ya kinamama waonekane kama majini vile!!

hina ni nzuri inategemea na mchoraji mkuu
 
huyo wa kwanza sijaona kibaya kwake.....

ila hao kina sauda mmmh samahani kwa kusema haya ila wametoka kama mashetani...

Similar Discussions

Back
Top Bottom