Ninawindwa, mniombee...

Ninawindwa, mniombee...

Na nyongeza zaidi, mthibitishie kuwa, ye kuwa mzuri haimaanishi anaweza mbambaisha mwanamme yeyote mbele yake.
Na ndicho nilichofanya, nashangaa mifisi yenye uchu inanitusi, wanatamani wangekuwa mimi duuuh aisee watu wana dhiki za k kinoma
 
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea

Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi. Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anayeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.

Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.

Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?

Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing

Napambana naye vipi huyu?
Kweli wanaume hakuna siku hizi, unatishikaje hivyo
 
Usiseme hivyo, mpaka kwa mabosi ameshaanza kuharibu, ukizingatia ni mkubwa wangu kwa cheo. Pia ni mtoto wa mtu mzito sana nchi hii, hii nimekuja kutonywa hivi karibuni na rafiki yake na akataka iwe siri, kifupi wote ni mboga 7
Mwamba mpelekee moto usije ukapotea na watu wasiojulikana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea

Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi. Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anayeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.

Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.

Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?

Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing

Napambana naye vipi huyu?
Wewe umemkataa baada ya kula mbususu yake? Au yeye ndo amekutongoza na ukamkataa juu kwa juu means hujammega? Explain briefly boss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom