Ninawindwa, mniombee...

Ninawindwa, mniombee...

Acha ujinga Mkuu, yani Binti aache kupambana na hali ya maisha yake ila akuhangaikie wewe tu?

Kwani maisha hayaendi bila ya mapenzi?

Je mimi ambaye niliwahi kukaa zaidi ya mwaka mzima bila ya mapenzi nilikufa?

Nina wasiwasi we ni Mvulana badala ya Mwanaume tokana na hii mada yako.
Vijana wa hum usiwaaminj wengine watot kabisa😂😂😂
 
Acha ujinga Mkuu, yani Binti aache kupambana na hali ya maisha yake ila akuhangaikie wewe tu?

Kwani maisha hayaendi bila ya mapenzi?

Je mimi ambaye niliwahi kukaa zaidi ya mwaka mzima bila ya mapenzi nilikufa?

Nina wasiwasi we ni Mvulana badala ya Mwanaume tokana na hii mada yako.
Eeeh hujakutana na madem ving'ang'anizi ndugu yangu.....tena usiombe uwe na mwanamke unayempenda na akamjua...atamfanyia vitukoooo ilimradi tu amkeereee kisa kapendwa na wewe na wee humtaki
 
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu.

Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea

Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi.

Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anaeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.

Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.


Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?

Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing


Napambana naye vipi huyu?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Japo kuna watu wamekutusi na wataendelea fanya hivyo, mie kwa upande wangu nakupa heko, mdada akishaonesha dharau kwa mtu yeyote mbaya zaidi huyo mtu nijuee ni mstaarabu basi akarage bao, Kutongozwa sio issue kama hakumuelewa jamaa angekataa kiustarabu kama mtu mzima.

Achana na hizi pimbi zinazokuita we mvulana
 
Huyo.... ungempeleka loji ya mbali..... chezea sana.... unajua kumchezea.... chezea sana kisha unamtuma kuoga.... huku nyuma unasepa na viwalo vyake vyote,,,, unamwachia simu tu....
Huo si ufala mkuu yote ya nini sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom