mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
- Thread starter
- #41
Niende wapi sasa?Kimbia tu....
Niende wapi sasa?Kimbia tu....
Hahahaha kama yapi hayo?Mkuu ikishindikana kupambana nae retreat tunamajeshi mengi ya kujitolea
Wasi wasi wakati ameshaahidi kuninyoosha, japo hajanitamkia ila kuna shoga yake ni rafiki yangu alinitonyaWasiwasi wako tu.
Sio lazima uamini, more enough no one forced you to believeVijana wa hum usiwaaminj wengine watot kabisa![]()
Hapo ndo vita ingekolea zaidiUlifanya kosa sana .
Mtu wa ki hivyo unamla mara moja tuu alafu unampiga marufuku kukuzoea zoea yeye mwenyewe atakuwa kondoo
Hutokea tu mkuu, inategemea na unavyojiweka. We unaonekana mtu wa utani mno na kujichekesha hovyoWenzangu mnawapata wapi mabinti wa type hizo? Binafsi napenda mwanamke awe ananielewa mm tu halafu awe mkali kwa wanaume wanaomtongoza lkn simpati naishia kuwapata hawa wanaojichekesha chekesha ovyo kwa masela na kugawa gawa namba ovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh, let me seeKila lakheri
Tembea na KY mda wowote vinaumana
Believe whatever you want, you are free. Huwa sizoi zoi tu wanawake hovyo, na sina njaa za k to that extent. I choose.!hapa Kuna jambo
Kama sio chai basi Cameroon yuko around
Waache tu usiwajibuEeeh hujakutana na madem ving'ang'anizi ndugu yangu.....tena usiombe uwe na mwanamke unayempenda na akamjua...atamfanyia vitukoooo ilimradi tu amkeereee kisa kapendwa na wewe na wee humtaki
Nikamue? Simuhitaji.! Mtu akishaonesha dharau tu kwa mtu yeyote namfuta kabisa hata awe mzuri kama CleopatraKaa kmua
Nimeshangaa sana mkuu, mimi mwenye dharau ni sumu kubwa kwangu, hata kama hajanifanyia mimi. Kifupi sina dhiki za hovyo hovyo za k, nachagua kwa vigezo vyangu maalumuJapo kuna watu wamekutusi na wataendelea fanya hivyo, mie kwa upande wangu nakupa heko, mdada akishaonesha dharau kwa mtu yeyote mbaya zaidi huyo mtu nijuee ni mstaarabu basi akarage bao, Kutongozwa sio issue kama hakumuelewa jamaa angekataa kiustarabu kama mtu mzima.
Achana na hizi pimbi zinazokuita we mvulana
Hao ni wapuuzi tu wanaotamani nafasi ingekuwa yao, wajinga wajinga tu wasio na directionHahaha,hapa jukwaani inabidi uwe na moyo uliokufa ganzi.
Comments za humu ndani ni hatari kama una moyo mdogo unaeza juta kwa nn ulileta bandiko humuHahaha,hapa jukwaani inabidi uwe na moyo uliokufa ganzi.
Kwa vile kashoboka mwenyewe unakula mpaka ndogo.Ulifanya kosa sana .
Mtu wa ki hivyo unamla mara moja tuu alafu unampiga marufuku kukuzoea zoea yeye mwenyewe atakuwa kondoo
Kwahio nani anastahili DHARAU?,Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu.
Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea
Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi.
Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anaeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.
Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.
Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?
Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing
Napambana naye vipi huyu?
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Sure,kabla hujapandisha uzi wako humu,unatakiwa kujiandaa kisaikolojia.....Comments za humu ndani ni hatari kama una moyo mdogo unaeza juta kwa nn ulileta bandiko humu
Ooh kumbeComments za humu ndani ni hatari kama una moyo mdogo unaeza juta kwa nn ulileta bandiko humu
Ni kweli mkuu, ila mimi ke mwenye dharau sipatani naye hata akiwa mtoto wa SSH i dont care yaaniKwa vile kashoboka mwenyewe unakula mpaka ndogo.
Hao waliokataliwa hawakuwa kwenye akili yake, sasa anakutaka wewe, pelekea moto kisha unatulia.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kabisa yaanSure,kabla hujapandisha uzi wako humu,unatakiwa kujiandaa kisaikolojia.....