mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,750
- 7,850
- Thread starter
- #101
Hujanielewa. Sijamsifia jamaa kuwa ni mzuri (hb), nimesema jamaa ni 'nice guy mzuri tu' tena ni introvert mpole yuko peace sana na kila mtu, hana hiyana.daahh msela.unamsifia mwanaume mwenzio mzuriii,,
unawindwa na mwanamke eti kisa humtaki,,,
Kuna jamaa mwingine eti ni kidume naskia amemchamba mange kimambi na wanaume wengine wanamshamgilia kwa kitendo hicho...
daaahhh this is too much guys..
au nasema uongo wandugu?
Aisee Mbona hiyo ishu ndogo tu.Cool bize na ishu zako,fullstop.Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea
Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi. Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anayeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.
Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.
Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?
Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing
Napambana naye vipi huyu?
Sawa kakaAisee Mbona hiyo ishu ndogo tu.Cool bize na ishu zako,fullstop.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mo natoa Hongera,Kuhusu kuomba mi sio Ombaomba.
Kamata hyo nafasi ya MANKA WA KICHAGA...
There is power in silence. Usimsalimie m ignore completelyHuyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea.
Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi. Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anayeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.
Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.
Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?
Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing.
Napambana naye vipi huyu?
Kweli kabisa katuangusha, kama mstarabu kakataliwa umekubaliwa wewe basi kula mzigo.Jamaa katuangusha.
Hana sababu za msingi kumkataa binti
Yaani huyu keshashindwa ndio maana kasema "ninawindwa-mniombee"Kila jambo liko ndani ya uwezo wako
Apply uanaume wako ukishindwa mwachie mungu
Siwezi kusema nina nguvu kwani nitakuwa najisifia. Ila sina njaa mbovu za k like majority of here. Nina msimamo, im ambitious. Anyway you are free to believe whatever u wantKama una uwezo na urijali wa kula mbunye mpaka Yale mashavu yake yakawa yanakupigia makofi nashauri mkule vizuri huyo Manka- lkn km nguvu zako ni tia maji tia maji uwezo mdogo basi endelea kumdengulia. Achana naye utakuja kuaibika.
Mpasue ndondi kama sita za uso tuone huko kujiamini kwake, au mpeleke magetoni mvue nguo zote kisha mwambie avae bila kumfanya chochote.

hapana mkuu huo ni ugaidi wa kutisha
Wisdom
Pole Sana Kaka angu inaonekana suala hili linakutatiza Sana nakukupa Shida napenda kukushauri kwamba unayosababu yakuomba muda mkiwa wawili watatu na yeye akiwepo kuweza kuongea naye vizur kuhusu hisia zake kwake kwa HESHIMA zaidi bila kuongelea maneno uliyosikia kwa watu wengine Nadhani nitakuwa nimekusaidia AsanteHuyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea.
Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi. Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anayeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.
Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.
Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?
Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing.
Napambana naye vipi huyu?
Mo natoa Hongera,Kuhusu kuomba mi sio Ombaomba.
Kiokoteee fafanua vizuri please omba omba kiaje,Kuna Manka namfanyia testing ila hiyo omba omba kama naiona kwa mbali hiviMo natoa Hongera,Kuhusu kuomba mi sio Ombaomba.
Nimejibu kichwa cha Habari.Kiokoteee fafanua vizuri please omba omba kiaje,Kuna Manka namfanyia testing ila hiyo omba omba kama naiona kwa mbali hivi