Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.

Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.

NIDA mmetukosea sana Watanzania.

INEC mmewakosea sana Watanzania .

TOKENI Hadharani kutuomba Radhi Watanzania.

Hakuna kubisha hapa, Aliyesema hayo ni MTU ,Mwanachama wa CCM, BALOZI, MTU aliwahi kufika Ngazi ya Juuu kabisa ya Chama Cha CCM, MTU wa Chamani, Hapa hamna Cha kusema aje athibitishe Wala nn, MTUOMBE MSAMAHA NA MUWAJIBIKE MARA MOJA KWA KUJIUDHULU !!.

Mmelihujumu Taifa letu
 
hawana huo ubavu labda tuwashurutishe
 
Pole pole kazungumza ukweli mtupu...
 
Tatizo, hatuna vyombo vya uchunguzi vilivyo huru.
Hivi tulivyonavyo vitaomba ruhusa kwa anayetakiwa kuchunguzwa. Upumbafu mtupu
 
Haya sasa, twende kazi. Sasa wale waliosema watasindikiza kura, ni how? Ama ndio kile kikosi cha doria mtandaoni?
 
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.

Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.

NIDA mmetukosea sana Watanzania.

INEC mmewakosea sana Watanzania .

TOKENI Hadharani kutuomba Radhi Watanzania.

Hakuna kubisha hapa, Aliyesema hayo ni MTU ,Mwanachama wa CCM, BALOZI, MTU aliwahi kufika Ngazi ya Juuu kabisa ya Chama Cha CCM, MTU wa Chamani, Hapa hamna Cha kusema aje athibitishe Wala nn, MTUOMBE MSAMAHA NA MUWAJIBIKE MARA MOJA KWA KUJIUDHULU !!.

Mmelihujumu Taifa letu
Siyo tu hivyo na kuwajibika ipasavyo
 
Polepole yupo kuwavua nguo CCM
Na wao hawataki kuchutama
 
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.

Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.

NIDA mmetukosea sana Watanzania.

INEC mmewakosea sana Watanzania .

TOKENI Hadharani kutuomba Radhi Watanzania.

Hakuna kubisha hapa, Aliyesema hayo ni MTU ,Mwanachama wa CCM, BALOZI, MTU aliwahi kufika Ngazi ya Juuu kabisa ya Chama Cha CCM, MTU wa Chamani, Hapa hamna Cha kusema aje athibitishe Wala nn, MTUOMBE MSAMAHA NA MUWAJIBIKE MARA MOJA KWA KUJIUDHULU !!.

Mmelihujumu Taifa let
Nakushauri uende mahakamani kuomba hizo taasisi ziagizwe kufanya hivyo
 
Daah ila sio kwa ubaya, huku n kujipa umuhimu uliopitiliza yaan NIDa na vyomb vingne vije hadharan kuomba msamah kisa ww umesema mtu ambae hata jina lako halisi hujaweka hapa JF, hauna influence, sura yako haijulikan, na hata kama unayo influence ila hapa hujajiweka wazi. Hatakama tunapigania haki huku ni kujipa umuhim kupitiliza na kujiwekea nyuzi za kufarijiana kama msiban
 
Back
Top Bottom