Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.


Maelezo mengi kuvuta matukio yawe kwenye hoja yako!

Mzee JF ni public area.Sio private area,private area ni DMs tu.

Hao uliokaa nao sana JF mpaka ukawa ndugu kwanini usifate DMs mkasaidiana nyie?

Umeweka kwenye thread public kuomba msaada kwenye public,public tuna haki ya kusema chochote.Undugu wako na baadhi ya watu wa JF haukupi uhalali wa kuweka matatizo yako hapa hadharani,wafate kwenye DMs.

Kuweka matatizo yako kwenye hadhara ya JF kuna tofauti gani na kuweka bakuli hadharani pale Ubungo?

I really hate it when some people think their problems are worthy public attention than others!Keep it for yourself like the rest of us we are doing,huo ndio ustaarabu!

Na msitutishe!Tuna haki ya kuongea tukitakacho,mmetuletea public hapa!
 


Wee Mamdenyi

Nani kakutukana?

Umeweka matatizo yako hadharani,kuna watakao kuonea huruma na wengine hatutakuonea huruma.Na kila mmoja ana hoja valid.Elewa hivyo.Sio una -catch feelings ukiona upinzani.Tegemea yote.

Pokea msaada wa waliokupa na uwashukuru ule kimya,sio unageuka kupambana na waliopinga.Ni haki yetu na tuna hoja!

Mimi binafsi siwapendi watu wanaopenda kupakaza vitu vyao binafsi kwa jamii nzima.

Wewe sio wa kwanza kuishi na abusive man,sio wa kwanza kuuguliwa,sio wa kwanza kupata matatizo,sio wa kwanza kusafiri kutoka Dar kwenda Mbeya,nk.Hakuna jipya hapo.Ni matatizo tunayapata kila siku wote.Tatizo lako ni unaongea sana kuhamisha tatizo lako liwe la JF kwa makala za huruma ajabu!

These types of escapisms makes me sick!
 
Joined dec 2017 Angalalia mwombaji amejoin lini na anawafahamu wangapi humu JF? Kitu ambacho wengine hawajui ni kuwa tuna ID fake lakini nyuma ya dirisha tunafahamiana na kuwasiliana ingawa hatujawahi onana.


Kama mnafahamiana sana,mfatane huko DMs mpeane misaada.

Mmekuja hapa hadharani kwa minajili ya kuomba kwa jamii nzima!

Hii ni tabia mbaya sana!

Hizi makala za kuelezea mambo ya matatizo binafsi hadharaniiii ili kupata misaada is so so so awkward and irresponsible!
 
Mamndenyi usiongee chochote kumjibu huyu mwenye chuki dhidi yako.
Kaa kimya Mungu atamjibu, na ikiwa utapata tena tatizo usisite kuliweka hapa.
PM ungezunguka kwa watu wangapi kwa dakika?
Hapa ndo sehemu pekee pakumpatia habari kwa kila mtu na ndio maana ikaitwa public.
Sio hili tu, hata ukiwa haujala na hujui pakupata liweke hapa mimi ntakupa achana na wapuuzi wenye kukata tamaa na baraka za Mungu.
Narudia ukiona imefika asubuhi haujui ule nini nambie.
Kuliko kuwaacha watoto wakaganyiwe matendo ya ajabu kwa ajili ya mlo mmoja (kama ni wa kike).
 
Tupo pamoja member.
 
Mkuu huyo bwana si mmeachana?unajihangaisha naye wa nini?ntakutumia kiasi kidogo naahidi.Ila kama hukumfaa ukiwa mzima hata kama anaumwa huwezi kumfaa
Lazima ajiangaishe sababu ni mzazi mwenzie, atabaki kuwa baba wa Watoto wake no matter what.
 
Mkuu nowadays gharama za kutuma hela kwenda mitandao mingine ni sawa sawa na kutuma hela ndani ya mtandao.Wameboresha sana mkuu.
 
Wote wanaomkashifu mamndenyi either wanaishi kwao hawajui maisha au ni watu walioharibikiwa maisha yao so wanajisikia furaha wakiona mwingine anahangaika
 


Mkuu

Mbona mnalaani sana aliechagua kutokutoa msaada?

Mnajifanya nyie ndio righteous than thou?

Asietaka kutoa ni haki yake,msimsimange!

Kutoa shida za kutaka fedha hadharani ni very very bad practice!Tukitoa wote shida zetu humu JF patakalika kweli?

Nani kakwambia public ni mahali pa kutoa shida "binafsi" za watu?
 
Wote wanaomkashifu mamndenyi either wanaishi kwao hawajui maisha au ni watu walioharibikiwa maisha yao so wanajisikia furaha wakiona mwingine anahangaika


Mkuu Kayaman

Unakosea.

Kwanza ni haki yao kutoa mawazo yao kama wewe ulivyotoa hapa.Aidha kupinga au kukubali.Usi-criminilize mtu kwa kua tofauti na wewe.

Huyu dada Mamdenyi angewafata wote anaojuana nao wangemsaidia.Ndio tunavyofanya wote humu duniani!Sio kuweka pakuli kwenye public namna hii ambapo tupo wengine huku wenye haki ya kuongea chochote!

Wote tunapata vipato hivi hivi anavyopata Mamdenyi na wewe na wengine.Tuna shida the same.Tatizo ni upayukaji.

Watu aina ya Mamdenyi wapo kwenye jamii,tunakaa nao..wanapenda shida zao wapayukie jamii ibebe kumsaidia.Wapo sana tu,mimi binafsi I can not lie,I hate them to the guts!
 
Tatizo inaonekana peke yako ndo haupendi maendeleo ya Mamndenyi, maana kuna member wengi humu hawajatoa na hawana nia ya kutoa lakini wamekaa kimya.
Why you.
 
Mkuu avatar yako tu inaonesha una roho mbaya ajabu.
 
Tatizo inaonekana peke yako ndo haupendi maendeleo ya Mamndenyi, maana kuna member wengi humu hawajatoa na hawana nia ya kutoa lakini wamekaa kimya.
Why you.

Unafikia conclusion ya ajabu sana!

Kuomba msaada ndio maendeleo?Kuomba msaada yaelekea kwa definition yako ni chanzo cha mapato hence maendeleo.

Mamdenyi simjui in person,ni ID ya mwanadamu mwenzangu kama ilivyo yangu supposedly.Siangalii kingine naangalia thread na posts zake,na najibu strictly na hizo,nothing personal!

Tabia za kupayuka matatizo binafsi hadharani kwa minajili ya ku-raise hela ni kutembeza bakuli kama ombaomba wa barabarani.Wote tuna shida the same,tutoe na sisi humu?

Siwezi kukaa kimya kama nina hoja ya kupinga.Nikae kimya ili iweje?

Wanaotoa wanatoa,siwezi wazuia ni haki yao,wasiotoa tupo ni haki yetu,na kuongea wote tuna haki,wether you like what Im saying or not tuna haki regardless!

Tabia kama za Mamdenyi zipo sana kwenye jamiii zetu tunakoishi.Kuna ambao hua tunakua convinced na tunatoa,na wengine hapana.

Mamdenyi kwa jamii yetu ya kitanzania ni very privileged,amesoma ana kazi,ana marafiki everywhere,kwanini asiwafuate huko DMs wakasaidiana?Mpaka tufungue threads za dharani?Wote tukifungua threads JF itakalika?

Mamdenyi anatumia mtaji wa kuongea kwa lugha laini,ya ushawishi kujenga huu msaada.Kihoja hakuna tatizo lolote alilotoa strong enough ku-warrant assistance hapo,ila kwavile ana followers hivi,anatumia hiyo kuombea msaada.Ni somekind of fraud.Hawa watu wapo everywhere.

I hate em shitlessly
 
Shida na raha, mbona inawezekana kabisa kutuma hela kutoka mtandao mwingine kwenda mwingine au ni Mimi sijakuelewa!
 
Mkuu avatar yako tu inaonesha una roho mbaya ajabu.

Hiyo avatar ni picha ya Mmarekani Mweusi actor anaitwa Cress Wiliams,ila jina lake la uigizaji kwenye series ya Prison Break ni Wyatt Mathewson!

Hii character kwenye PB nilikua naikubali sana!

Kuhusu roho mbaya ni wewe umesema kwendana na mtazamo wako.Ni very subjective.

Kwa wewe ni sawa tu kuniita nina roho mbaya maana ndivyo ulivyoona!Thats cool.

Ila the bottomline is,tabia ya kupaka shida za maisha yetu huku tunayoishi kwa jamii nzima ili ikubebe hizo shida kwa eti hoja ya "huruma" na "roho nzuri" na "walio guswa" ni ajabu sana,maana yote anayosema tunayapata wote kila siku kwa vipato hivi hivi anavyopata yeye na mimi na wewe.Hii tabia ni ya hovyo sana.Ni ukwepaji majukumu kwa kutumia lugha ya "walio guswa"!What an escape!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…