Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Kwahiyo tatizo ni kuomba misaada?ID ya Mamdenyi naifahamu.
Na mimi sio mtoto.Unapogeuka mganga wa kienyeji kupiga ramli ndio unapofeli!
Background check ya nini na anajulikana muomba misaada sio mara ya kwanza!Ni ombaomba kwa lugha rahisi kabisa!
Mtu mwenye tabia ya kuombaomba ni mtu mkwepa majukumu na he/she will never get any respect no matter the ID you have on JF!
And kabla ya hilo, majina ya mikopo yalipotoka mwaka huo alisema kabisa kuwa watoto wake wamekosa mkopo japo wana vigezo vyote.Ili kuweza angalia credibility ya story zake inabidi ujue historia yake!..Dada aliwahi leta stori ya msaada wa ada mtoto ake amalize chuo kama sikosei!..Anapitia mengi lakini ana moyo mkubwa pia!
Umenena vyema kushikana mkono ni jambo jema, jf sio kijiwe cha majungu na umbea bali kubebana pia.And kabla ya hilo, majina ya mikopo yalipotoka mwaka huo alisema kabisa kuwa watoto wake wamekosa mkopo japo wana vigezo vyote.
Tatizo la baadhi ya wanaJF wanadhani sote tunaishi masaki tuna mabiashara makubwa, diplomat positions na kuendesha fancy cars, wakati kimsingi wengine tunamaisha ya mtanzania wa kawaida kabisa, hivyo mwenzetu akiomba ashikwe mkono tunakuwa wepesi kuelewa, tunaijua shida ninini na tunaelewa kuna namna nyingi za kutatua shida.
Huyo jamaa haijalishi anazo pesa sana au tajiri LAKINI ANA ROHO MBAYA NA YA KIMASKINI SANAKwahiyo tatizo ni kuomba misaada?
Mi nilijua ni tapeli kumbe anaomba acha ujinga leo unacho kesho hauna utakua mgeni wa nani.
Kwani lazima aje pm si umwambie tu aende akachukuwe tiketi ofisini umeshalipa?Njoo pm msaada wangu sitakupa pesa sababu wengi ni matapeli,nitakuunganisha kwenye basi newforce utapanda na utakula Mimi nitajua jinsi gani nitakavyo walipa,nimeguswa sana na matatizo nami ni binadamu
Wewe sio mzee wa kwamba usiweze kukimbia usitunganye na avatar yako hapa.Nauzee huu naweza mbio za vijana kweli.....[emoji45] [emoji45]
Rahisisha mambo kwa kuwasiliana nae kwa 0755 557094Njoo pm msaada wangu sitakupa pesa sababu wengi ni matapeli,nitakuunganisha kwenye basi newforce utapanda na utakula Mimi nitajua jinsi gani nitakavyo walipa,nimeguswa sana na matatizo nami ni binadamu
Hahaaahaaaa.....Wewe sio mzee wa kwamba usiweze kukimbia usitunganye na avatar yako hapa.
Haya bhana. Mungu anajuwa.ID ya Mamdenyi naifahamu.
Na mimi sio mtoto.Unapogeuka mganga wa kienyeji kupiga ramli ndio unapofeli!
Background check ya nini na anajulikana muomba misaada sio mara ya kwanza!Ni ombaomba kwa lugha rahisi kabisa!
Mtu mwenye tabia ya kuombaomba ni mtu mkwepa majukumu na he/she will never get any respect no matter the ID you have on JF!
Acha masikini kwa masikini tusaidiane matajri wakejeli.maisha ya nyuma ya keyboard ni fumbo kwa wengi...
Tunakutana humu, stori nyingi, kufurahi na kukerana kumbe huwezi jua unachat na mtu yupo katika hali gani.
Kufikia hatua ya mkongwe kama huyu jf kukosa nauli ya kufikia mbeya nashindwa kuelewa yani, ila ndio hivyo shida zipo kwa binadamu.
Pole sana Mamndenyi ,
kweli mkuuAcha masikini kwa masikini tusaidiane matajri wakejeli.
Pole sana. Sae kubwa mama. Hebu kuwa specific.Kwa wana jamii wa Mbeya mnaweza kwenda kumuuona nyumbani ni Sae.
Yawezekana hata Baba yako anaomba mikopo bank kisa ana mali ya kuweka!..Nchi yako ni ombaomba pia
Kwahiyo tatizo ni kuomba misaada?
Mi nilijua ni tapeli kumbe anaomba acha ujinga leo unacho kesho hauna utakua mgeni wa nani.