Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
HahahaSasa haya hayana tofauti yeyote na yale.
Hata match za vitini hapo zinakuwa ngumu.
Na jinsi tulivyo hatuwezi kutulia tukikaa. Kama mimi[emoji3][emoji3] ndio kabisa.
Unakaa vizuri then unaanza kujiselelesha[emoji23][emoji23][emoji23]