Ninatafuta sofa za aina hii

Ninatafuta sofa za aina hii

Lakini hizi mbona kama ni outdoor?
1103730


Kama hizi ndiyo outdoors zangu
 
Sasa haya hayana tofauti yeyote na yale.

Hata match za vitini hapo zinakuwa ngumu.

Na jinsi tulivyo hatuwezi kutulia tukikaa. Kama mimi[emoji3][emoji3] ndio kabisa.

Unakaa vizuri then unaanza kujiselelesha[emoji23][emoji23][emoji23]
Utayakuta sakafuni,unakumbuka Yale makochi ya zamani na cushion zake? Mtoto ukiambiwa lala kwenye Kochi,huwezi hata kulala
 
Back
Top Bottom