Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Sawa mkuu nimekusoma kwa mbaaaali kidogo. Ila umefafanua vizuri sana...Kenya ina a lot of import substitution industry so haiagizi sana bidhaa ndomana wamei-value currency yao ili iwe cheap kuimport capital goods for investment nazani umeanza kupata some point
Panapotatiza waeza uliza zaidi na wachumi wengine watakuja kujaza nyama!Sawa mkuu nimekusoma kwa mbaaaali kidogo. Ila umefafanua vizuri sana...
Mkuu, nimefuatilia "rates" za mwezi mzima na zote zinacheza katika range hiyo hiyo...Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika
Sawa kaka mkubwaPanapotatiza waeza uliza zaidi na wachumi wengine watakuja kujaza nyama!
Kila nchi imesubcribe IMF na kufix kiasi cha fedha in terms of dollars, sasa basi dhumuni kuu la exchange rate ni kwa ajili ya kubadilishana bidhaa kati ya nchi na nchi, currency zinazokubalika allover za world ni tano tu zikiongozwa na us dollars so si rahisi tzs shillings kupokelewa China inabidi uexchange into dollar, sasa inafikia mfano tz tume import zaidi kuliko export mpaka tukamaliza balance tuliyofix IMF ndo kinatokea kitu kinaitwa unfavorable terms, ili kubalance inabidi tupromote export kwa devalue our currency ili bidhaa zetu ziwe cheap nchi za nje zinunue sana ili kupandisha foreign currency ndomana nikasema Kenya wamevalue currency yao coz wanaviwanda vingiBado mm sijaelewa Chief
mhh WW2? Kivipi labda dada yangu?Nadhani inatokana na vita ya pili ya dunia.
Kitu kinachoipa thamani fedha ni fedha yenyewe ktk nguvu ya manunuzi, yaani mfano mwaka 2010 tzs 500 iliweza kunipatia chapati 5 ila mwaka 2020 inanipatia chapatti 2 so automatically hapo unaona imeshuka thamani!Ni kitu gani kina ipa thamani pesa?!!
Pesa za nchi za GUlf kama Oman au UAE zina nguvu kulio USD ila hii haimaanishi kua zina uchumi mkubwa kuliko USA,
wataalamu wa kuandika vizuri watakuja kukufahamisha.
sawa mkuu...Pesa za nchi za GUlf kama Oman au UAE zina nguvu kulio USD ila hii haimaanishi kua zina uchumi mkubwa kuliko USA,
Mkuu ungeifafanua mwenyewe tuNadhani inatokana na vita ya pili ya dunia. Anyway, watakuja wataalam kukuelezea zaidi