Huyu jamaa amepanga safu ya hatari ya kwenda kuwamaliza majambazi ccm,ameifananisha tim yake ya ushindi na barcelona tim ya mpira wa miguu.mfumo wake ni 4,5,1 huu mfumo,unashambulia kwa kasi kama umeme,huu mfumo una viungo makini sana,na wanauwezo wa kutoa pass za mwisho kama mvua,na bila shaka m2 wa kutupia atakua straiker mbaya kabisa namba 9 mgongon EL,viungo washambuliaji wa pembeni ni mbatia na dr.slaa wakati namba 10 yupo kamanda mbowe,huyu kazi zake ni nyingi pass za mwisho,mashoot ya mbali,kuotea.lakin mfumo huu ambao unamfanya lisu kuwa mchezaji huru like mess.wakati huo ulinzi anakabidhiwa sugu,sefu,makaid,na lembeli,hata goli la mkono hawaambulii.sumaye ni supa sub.mnyika ni mtu wa kuharibu pass za mwisho.golin yupo wenjena na mtu wa kucheza undava tunamwachia lema.