Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Dr slaa alipojiuzuru nafasi yake ya katibu mkuu wa chadema, freeman mbowe hajatamka neno baya au tusi lolote kwa katibu wake wa zamani zaidi ya kumtakia safari njema.Alisema askari mmoja akiondoka vitani hausimamishi vita Bali unatakiwa kuendelea na mapambano, freeman nbowe alisema Dr slaa anayo nafasi tena akiamua kurudi kundini vile vile alitoa brief sababu za kutofautiana baina yao wawili hayo aliyasema karatu.Kauli ya mbowe inatofautiana na kauli ya jakaya kikwete kwenye uzinduzi wa kampeni ya ccm ,alisema wachawi wameondoka sasa wako huru hapo alikua akiwalenga lowassa na sumaye linganisha kauli za wenyeviti freeman mbowe wa chadema na jakaya kikwete wa ccm then ulinganishe kauli ya mwenyekiti mstaafu aliewaita malofa na wapumbavu..utapata jibu mbowe amekomaa kisiasa.
 
mbowe huyu aliyekiuza chama kwa FISADI PAPA ?
 
Kwangu kwa sasa katika nchi ya asli na maziwa hakuna mwanasiasa anaejua siasa acha wapiga siasa kama mbowe.

huwezi amini bila mbowe yoteeee unayoyaona yaaingekuwepo, leo hii kichwa kimoja lowasa kimesimamisha nchi. acha freeman aitwe mwenyekiti, jamaa yuko strategically sana
 
mbowe anajua practical pilitics, SLAA yupo kwenye theoretical politcs.....ambazo kila theory ina assumptions kibao ambazo zinataka mambo mengine yawe constant iwe theory to hold
 
Mkuu Yericko upo? Kimya sana tumemiss nyuzi zako ..............
 
The dude gat plans, I can guarantee you he is not cheap in politics...
 
huyu jamaa ni kichwa sana.
anastahili pongezi na kuungwa mkono na wapenda mabadiliko na maendeleo
 
Toka hapa, peleka ujinga wako huko. Unafikiri utamla nani kisogo! we ni mwana ukiwa tu. CCM Oyeeeeeeeh.

Wewe jamaa una iman za watu wa kale ambao mungu aliwaletea mitume lakin hawakuamin ata pale iyo mitume ikionesha miujiza waliopewa na mungu lakin watu hawakusikia wala kuona.

Hii nahifananinisha na watu wanaoipenda ccm.

Mana nchi haina umeme, haina maji safi, huduma za afya mbaya, elimu haina ubora tena.

Lakin watu bado tu wanaiman na ccm
 
Jamaa ni kama Gwajima...anawaambia watu kuwa ana uwezo wa kufufua wafu nao wanamuamini...yeye anawaambia watu kuwa ufisadi ni ukiwa nje ya Chadomo tu, ukiingia Chadomo unatawasika automaticaly..na wapo wanaomuamini.
 
Wa kuheshimiwa ni Kikwete aliyewapa uhuru wa kuropoka mpaka ya nguoni.
 
Back
Top Bottom