Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

Mbowe atapata heshima kuu zaidi ikiwa Ukawa itashinda. Mwenezi wa ccm anayemponda sijui itakuwaje
 
mbowe anajua practical pilitics, SLAA yupo kwenye theoretical politcs.....ambazo kila theory ina assumptions kibao ambazo zinataka mambo mengine yawe constant iwe theory to hold

aha ha ha umenikumbusha miaka ileee enzi zetu za kuderive equations, niongezee hapo nikuwa mbowe anaenda na political rythm, political dynamics,hata kwenye physics kuna scalar quantities na vector quantities, sio kila kitu kina obey mathematical fomulae,

namkubali anaziweza siasa za kibongo
 
Mbowe level ya juu kwenye siasa magamba mbona wanalifahamu hilo na ndo maana wanatumia nguvu nyingi kuisambalatisha ukawa na chadema
 
kipimo chake tusubiri kuona kama atashinda walau ubunge jimboni kwake
 
Dr slaa alipojiuzuru nafasi yake ya katibu mkuu wa chadema, freeman mbowe hajatamka neno baya au tusi lolote kwa katibu wake wa zamani zaidi ya kumtakia safari njema.Alisema askari mmoja akiondoka vitani hausimamishi vita Bali unatakiwa kuendelea na mapambano, freeman nbowe alisema Dr slaa anayo nafasi tena akiamua kurudi kundini vile vile alitoa brief sababu za kutofautiana baina yao wawili hayo aliyasema karatu.Kauli ya mbowe inatofautiana na kauli ya jakaya kikwete kwenye uzinduzi wa kampeni ya ccm ,alisema wachawi wameondoka sasa wako huru hapo alikua akiwalenga lowassa na sumaye linganisha kauli za wenyeviti freeman mbowe wa chadema na jakaya kikwete wa ccm then ulinganishe kauli ya mwenyekiti mstaafu aliewaita malofa na wapumbavu..utapata jibu mbowe amekomaa kisiasa.
Mbowe atakumbukwa daima katika mabadiliko ya Taifa jipya LA Tanzania ns kuzaliwa upya kwa Tanganyika iliyozikwa enzi hizo.
Hakuna wakufanana nae jspo nimdogo kuliko Mkapa lkn Ana hekima za ajabu sana.
Viva Mbowe Viva Lowassa Viva Ukawa kwa kuturudishia utu wetu na heshima kubwa TZ na kuturudishia TNGNYK yetu ambayo sisi hakuiona
Mungu mbariki Mbowe mpe hekima zaidi kuliinua Taifa letu.
 
Wewe jamaa una iman za watu wa kale ambao mungu aliwaletea mitume lakin hawakuamin ata pale iyo mitume ikionesha miujiza waliopewa na mungu lakin watu hawakusikia wala kuona.

Hii nahifananinisha na watu wanaoipenda ccm.

Mana nchi haina umeme, haina maji safi, huduma za afya mbaya, elimu haina ubora tena.

Lakin watu bado tu wanaiman na ccm

Kweli kabisa, hakuna tofauti na zombies
 
Nishani ya How to win friends and get along with people,kwa jinsi Chama chake kilivyokuwa haraka.
 
Back
Top Bottom